klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
...bado hatujausikia upande wapili wa shilingi bana...mazowea yanatabu,
huyu bwana lazima alichangia kuwepo hiko kiwango kikubwa sana cha matumizi
kwa familia yake.
...msomeni mstari kwa mstari,...kamuachia mke gari, gari inahitaji mafuta, service, nk...
siku hizi mgao mnaona ulivyoshika kasi...mambo ya ku save kwa kununua kitoweo in bulk hakuna tena...
imagine hapo kuna babysitter, kuna entertainments za mtoto tena kama anasoma hizi academy ndio balaa.
maana kuna kulipia na transport pia.....acheni nyie, maisha yamekuwa tough!...
1.8m/= kwa mwezi haitoshi iwapo uliwahi kuishi kwa kipato zaidi ya hiko!
kujishusha shughuli!
Mkuu, mimi kitendo cha kusema kwamba wazee wako upande wa waifu wake tu basi kinanijengea picha kwamba there is nothing wrong going on. Whether ni mazoea kama unavyosema wewe au ni mabadiliko ya kimtazamo yaani waifu anamtazama mume wake kwa jicho la kwamba mume wake kuwepo ughaibuni ni mafanikio na hivyo ana uhuru wa kujimwaga apendavyo (kama ninavyosema mimi). La kufanya huyu jamaa anahitajika achupe nyumbani kidogo na kuassess situation na kujieleza mpaka aeleweke kwamba huko aliko ni guantanamo bay na si paradiso kama wanavyofikiria.
...umeona ee?...hah...
haya mambo bana, wengine tunazungumzia reality bana sio 'alinacha'
1.8m/= haitoshi iwapo familia iliishi kwa kipato kuliko hicho...
mbaya zaidi, na hapa nakusema hadharani jamii01...unakiri kabisa kwamba bro wako
ana cover gharama nyinginezo, pia biashara zako zinasaidia kufidia mapungufu ya hapa na pale..
aisee? mnaishi maisha ya hali ya juu sana kwa kiwango cha mtanzania wa kawaida...
kubali matokeo tu,...nyie mmejiweka kwenye daraja fulani hivi ambalo ni jukumu lako sasa
ku maintain status aisee....otherwise either ndoa au masomo mojawapo litakushinda.
Sina haja tena ku ckarify kwa pm lile swali langu ni muda gani sasa tangu uwe mbali na mkeo.
Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila mwezi.
Halaf samtaim ushauri wa humu mtu inabidi uwe makini, dah! nilishtushwa sana na wimbi la washauri wanaomlaani huyo mama wallahi na kutaka kuvunja ndoa. Hapa tatizo ni ukosefu wa maelewano tu baina ya jamii01 na waifu. Ni kesi ndogo sana ila inaweza ikakua kwa kadiri ambavyo jamii01 anaendelea kukaa US na kutaka kutatua tatizo kwa simu. Pia suala lako ni la msingi sana moskwito , na mimi nalirudia. jamaa ni muda gani yuko mbali na mke wake (Angalizo: hii hali ya umbali inachosha na inawezekana mdada ameanza kuchoka na sasa anachokonoa chokonoa .............. simalizii watoto hawajalala bado)
tena amegraduate juzi mbichiiiiiiii muone rejao akupeleke eneo la tukio
Mimi nikisikia mwanamke anamnyanyasa
mwanaume huwa najua ni mara kumi ya
mwanaume akimnyanyasa mwanamke.
All in all pole sana
unajua siyo kiwango cha maisha kubadilika ila ni nikuwa nilitegemea gharama za maisha zingepunguwa kwa kiasi kikubwa ila imekuwa tofauti..siwezi kusema kuwa anatoka nje au la..kama mimi ninahuwa huku sina shida ilimradi tu nisijue na hawe safe ilo ndilo la muhimu,kuna shida moja ambayo najua inampa shida hajui kupanga budget lipi la muhimu na lipi si muhimu.ndiyo maana shughuli zangu zote niacha nimekabidhi kwa Bro.wangu kwa maana naweza kurudi nikakuta na biashara imekufa kabisa..ila shida moja aliyonayo nikuwa wakienda watu wawe rafiki au ndugu atawafungia kila kitu wanachotaka mchele,unga,sukari .n.k na kama hiyo haitoshi utaona anakwenda kununua kupelewalekea jamaa zake au zangu weekend hapo ndiyo furaha yake.hilo mie pia ni shida tulikwisha gombana juu ya hilo mara nyingi ...[/QU Pole sana jamii0. matatizo kama hayo hutokea haswa pale ambapo mwanaume alikuwa inchaj wa manunuz ya home hivyo kudhibit matumiz in your absence kwake inakuwa shda kdogo.lakn pia maisha yamepanda sana hivo
mwondolee huo usafiri nakwambia hiyo hela itamtosha sanaNiko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.
Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila mwezi.yeye anafanya kazi katika shirika fulani Tanzania na anapokea mshahara kiasi fulani mara zote analalamika pesa ninayomtumia haitoshi imagine juzi nimetuma kwa exchange rate ya Tanzania alipokea kama Tsh,1,800,000 bado ananipigia cim na kunigombeza pesa haitoshi kwenye matumizi yake ya maisha na mtoto sasa jamani huyu ni mke au mzigo?nimemweleza hari halisi ya maisha ya huku haelewi naishi kwa kujibana ili kile kinachopatikana tukiserve lakini wapi.nahisi kama nilikosea kwenye uchaguzi au anafanyia nini hiyo pesa ya kila mwezi au anaamua kunifanyia ushenzi tu.nimemwambia kuna watu wanalia mchana na usiku wanakosa bahati kama hiyo lakini haelewi.ila ninafikiria kumchukua mtoto wangu akalelewe na mama yangu mzazi au nimchukue nihishi naye ..nahisi huyu mwanamke nimzigo tena haubebeki..nasiyo kwamba kuna assets za ndani ananunua nyumba hiko full hadi usafiri nilimpatia wa kutumia.
Jamani mke wa namna hii nimfanyeje?
Nawashukuru wandugu kwa mchango wenu wamawazo mazuri nitafanya maamuzi then jumapili nitawapa feedback..