KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Mara umeacha mara kitamuuu,sasa sijui tuchukue kipi?kinavokuwaga kitamu aisee nishawai onja siku moja sitokaa nisahau
morning glory
Mara umeacha mara kitamuuu,sasa sijui tuchukue kipi?kinavokuwaga kitamu aisee nishawai onja siku moja sitokaa nisahau
morning glory
Anamiss kitu gani? kila siku yuko juu ya mitwangio huyo.Aiseeeh kwa jinsi unavyo comment kwenye thread,inaonekana kua unamiss sana hizi mamboz
Yaani anataka watu wachome moto mabanda yote kwa mfuga mbwa,maana mishumaa ni hatari.Sasa hii kwa wenye nyumba zenye kuhimili yote hayo, uswahilini kwetu huku tandale ndani ndani chumba kimoja watoto wawili, na mishumaa wapi na wapi jamani
Baby umetupa jongoo na mti wake?Mm navyopenda kupunga hewa yani had nshazoea chupi had nikiwa safarini
Yaani umesema kweli Mkuu,halafu mwanaume akifanya hivyo ujue mwanamke anamdharau kweli.nina kinyaa kwanza utanyonyaje uke wewe? sehemu ambayo iko karibu kabisa na tundu la mavi?
acheni upuuzi nyie hata mbuzi hawafanyi huo ushenzi
Pump in and pump out?where?mjinga Ni wewe..km hata papuchi ya mkewe hajawai kuiona Kuna utamu gani hapo km kazi huiwez waachie wajuzi
mijitu isiyojua mapenzi utaijua Tu..inajua Ku pump in an out ndo mapenzi
haaaaaaahaaa Ina huuuu
Daah Veno we mchokozi hivo?Hyo hyo yake.
Muulize big gift
Wacha weeeeee,inamaana hujui mwanamke kujamba ni jambo la aibu sana, mrembo nakupa ushauri mzuri,mwanamke akijamba mbele ya mwanaume thamani yake inashuka sana,yaani anadharaulika kupita maelezo,labda ajambie kutoka kwenye KAIMA wakati wa tendo ,hiyo italeta mzuka kwa mwanaume.Aiseee naanzaje kumuonea aibu mtu ninae share nae kitanda jamani?Huyo ata kujamba mbele yako anaweza kweli?[emoji39]
Na kweli mamii,mimi mwanamke akijamba mbele yangu najua ananibeep kwa ajili ya Tigo,hapo sichezi mbali bhana.Ha ha ha kwakweli i think kujambiana its so rude hata muwe mumeoana miaka 20 kuna vitu hatupaswi kufanya mbele ya wenza wetu labda iwe kwa bahati mbaya!
kujamba sio ishu sana ishu harufu ile kama kavimbiwa mtahama chumbaWacha weeeeee,inamaana hujui mwanamke kujamba ni jambo la aibu sana, mrembo nakupa ushauri mzuri,mwanamke akijamba mbele ya mwanaume thamani yake inashuka sana,yaani anadharaulika kupita maelezo,labda ajambie kutoka kwenye KAIMA wakati wa tendo ,hiyo italeta mzuka kwa mwanaume.
Duuh,lakini wengine wakisikia harufu tu wanauliza wapenzi wao kama ifuatavyo"BABY NAONA UNANIBEEP,VIPI SI USEME TU KULIKO KUKAA KIMYA HUKU UNAWASHWA?,DAWA YAKE IPO TU,HAYA HEBU SOGEA HAPA BABY,POLE SANA EENH,UMEUMIA?,BASI POLE SANA,NGOJA NIMTOE HUYO DUDUWASHA"kujamba sio ishu sana ishu harufu ile kama kavimbiwa mtahama chumba
Mrembo nawe umeona eenh?,ati anataka aone nanihii,ili iweje sasa?
Daah,Mkuu hata mimi nimechemsha,naona ni chai ya Mh Magufuli maana haina sukari,iweje ati hajawahi kuona mali yake mwenyewe?ina maana huwa anapapasa,sasa hiyo ni hatari mara nyingi inatokea accident halafu ufunguo unafungua mlango wa uani,na hapo ndio mwanzo wa kupata steam isiokwisha,maana kule ni dunia ingine kabisa.Lol, we unaeza kula chakula gizani? Kama kina mende au konokono je utaonaje ? Huyu kanifurahisha, miaka yote hadi watoto wawili anakuja kulalamika jua liko saa 10 jioni [emoji23][emoji23]
[emoji121]Niko kwenye ndoa zaidi ya miaka mitani lakini cha kushangaza muda wote huo hatujawahi kufanya mapenzi mchana, yani sisi ni mwendo wa usiku tuu tena kipindi watoto wamelala na taa zimezimwa zote.
Hataki kabisa taa iwe imewaka na huwa hapigi ile miguno ya raha yani yeye ni mwendo wa kimya kimya tuu, tuna watoto wawili. Najua hapa mtashangaa ila ni kweli sijawahi kuona sehemu zake za siri. Ana aibu kweli hadi kero, wakati anavaa chupi huwa anaivaa kanga yake anavaa umo humo. Nimejaribu mara nyingi kumchungulia hata kumshtukia lakini sijafanikiwa.
Sitaki aone kama namghasi sana ila iko siku nitaona tupu zake tuu. Niliwahi kumuuliza akasema huwa anaona aibu mno na huwa hamna amani/hafrahii kuona namtizama tupu zake. Kwa kuwa mimi ni mstaarabu sijapenda kumlazimisha natulia tuu ila namhakikishia lazima nione mwili wake wote.
NAWASILISHA.