Mke wangu anapenda tufanye mapenzi usiku tuu!

Mke wangu anapenda tufanye mapenzi usiku tuu!

Wewe hivi unawajuwa wanawake wanaojifanya Walokolee..iyo Mishumaa ataizima Na MAJI.Kifupi Huyo Mdada anahitaji nyumba ndogo.Ndo akiri itamkaa sawa
Samahani kama ntakukwaza hakuna ulokole kwenye mapenzi na acha kuchochea uzinzi hizo akili za kishetani kwanini usitoe ushauri ambao utakuwa wa msaada?Yaani ndo upeo wako wa kufikiri ulipoishia hapo??
 
Aaaaaah acha ujinga, aliyekwambia utamu mpaka unyonywe papuchi nani ???
mjinga Ni wewe..km hata papuchi ya mkewe hajawai kuiona Kuna utamu gani hapo km kazi huiwez waachie wajuzi

mijitu isiyojua mapenzi utaijua Tu..inajua Ku pump in an out ndo mapenzi
haaaaaaahaaa Ina huuuu
 
  • Thanks
Reactions: MC7
miaka mitano??..asije akawa na jinsia mbili huyo...
 
kimya ??????? au una kibamia cha hatari hasikii kikingia wala kutoka ,hasikii utamu huyo
watu wana vitu vya hatari na utamu lazima tu upige kelele. mimi huwa napiga kelele mpaka aibu ndo maana nimeacha mambo hayo
uume hauna ujanja bna ukikuingia tu weee acha kabisa lazima network ikate
labda mkeo kakeketwa
kwa kauli hii...nimeanza kukujua. we sio yuuule..wa... mwaka ....!!!

nadhan
 
Yaani nimecheka ijapokuwa si mazuri!!Mkeo ana low self esteem.Hajiamini na mwili wake.Sasa inabidi ukazane kumsifia sana kwamba unapenda maungo yake,siku moja moja unaeza kumpiga kibao cha tako...ha ha ha naandika huku nacheka...mnongoneze sikioni kwamba she has outstanding hips....Flirt with her,tease her..Na mwambie mkiwa pamoja faragha unapenda akuvalie vitu sexy kwasababu vinakupa mtima sana na anapendeza akivaa hivo.
Kitu kingine inapaswa uende dukani hasa ukamnunulie hio sexy sleepwear\lingerie umpe kama zawadi.

View attachment 397128 Like this....
Mvinyo/Amarula huwa unasaidia sana kunyegesha/kuongeza hamasa na kumfanya mtu arelax vilevile...
Halafu kitu kingine usiwe unademand vitu kwa fujo nenda nae kwa step anza taratibu mfano baadala ya kuwasha taa mwambie unapenda mishumaa uweke chumbani inaleta mwanga na relaxation fulani. View attachment 397130 Hii isambaze kwenye kona tofauti za chumba inakuwa na vyombo vyake maalum au unaeza kutumia mikubwa pia...View attachment 397132
Mfano siku washa mishumaa yako hivi vimishumaa tudogo kisha mwambie ungependa umpe full body massage with oil.Na inaweza kuwa reciprocal pia akupe na ww....SEX IS MORE THAN JUST DOING IT YOU KNOW!!
wee kungwi haswaa
 
Niko kwenye ndoa zaidi ya miaka mitani lakini cha kushangaza muda wote huo hatujawahi kufanya mapenzi mchana, yani sisi ni mwendo wa usiku tuu tena kipindi watoto wamelala na taa zimezimwa zote.
Htaki kabisa taa iwe imewaka na huwa hapigi ile miguno ya raha yani yeye ni mwendo wa kimya kimya tuu, tuna watoto wawili.
Najua hapa mtashangaa ila ni kweli sijawahi kuona sehemu zake za siri.
Ana aibu kweli hadi kero, wakati anavaa chupi huwa anajivaa kanga yake anavaa umo humo. Nimejaribu mara nyingi kumchungulia hata kumshtukia lakini sijafanikiwa.
Sitaki aone kama namghasi sana ila iko siku ntaona tupu zake tuu.
Nliwahi kumuuliza akasema huwa anaona aibi mno na huwa hamna amani/hafrahii kuona namtizama tupu zake.
Kwa kuwa mimi ni mstaarabu sijapenda kumlazimisha natulia tuu ila namhakikishia lazima nione mwili wake wote.
NAWASILISHA.
Huyo atakuwa ana KOVU kubwa sana uwenda yote iliungua akiwa mtoto anaogopa utamwagaaa! Kwani batani ipo?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
na
kimya ??????? au una kibamia cha hatari hasikii kikingia wala kutoka ,hasikii utamu huyo
watu wana vitu vya hatari na utamu lazima tu upige kelele. mimi huwa napiga kelele mpaka aibu ndo maana nimeacha mambo hayo
uume hauna ujanja bna ukikuingia tu weee acha kabisa lazima network ikate
labda mkeo kakeketwa
tamani tupeane ma utalaamu! unaonekana upo vizuri
 
Back
Top Bottom