Mke wangu anapenda tufanye mapenzi usiku tuu!

Mke wangu anapenda tufanye mapenzi usiku tuu!

Chai.... [emoji478][emoji478][emoji478][emoji478]

Toka uchimba mpaka ndoa na watoto wa wili hujawahi ona utupu wake


Mmmmh
 
kimya ??????? au una kibamia cha hatari hasikii kikingia wala kutoka ,hasikii utamu huyo
watu wana vitu vya hatari na utamu lazima tu upige kelele. mimi huwa napiga kelele mpaka aibu ndo maana nimeacha mambo hayo
uume hauna ujanja bna ukikuingia tu weee acha kabisa lazima network ikate
labda mkeo kakeketwa
Hahhaha aiseh ww,kasi yko n balaa. Unapost km unashirkiana na bi mkubwa KASINDE
 
Mfano siku washa mishumaa yako hivi vimishumaa tudogo kisha mwambie ungependa umpe full body massage with oil.Na inaweza kuwa reciprocal pia akupe na ww....SEX IS MORE THAN JUST DOING IT YOU KNOW!!

bila shaka kwenu Tanga [emoji4][emoji4][emoji38][emoji38]
 
Ha ha ha kwakweli i think kujambiana its so rude hata muwe mumeoana miaka 20 kuna vitu hatupaswi kufanya mbele ya wenza wetu labda iwe kwa bahati mbaya!
[emoji38][emoji38][emoji38] very rude, harshy, cruelty.... unexplanable!
Hahahaha u make me smile
 
Aiseee naanzaje kumuonea aibu mtu ninae share nae kitanda jamani?Huyo ata kujamba mbele yako anaweza kweli?[emoji39]
hajambi tena hata bora hajambi maana anaweza kuachi ushuzi mmoja mchafu sana unanuka chumba kizima hadi hamu ya tendo inaisha.
kumbaja kupo ila tunajamba kimpango.
sio unakuta umekula magimbi yako huko umevimbiwa halafu uje jamba mbele zang weee
 
Ha ha ha kwakweli i think kujambiana its so rude hata muwe mumeoana miaka 20 kuna vitu hatupaswi kufanya mbele ya wenza wetu labda iwe kwa bahati mbaya!
kujamba sio ishu harufu, kuna wengine utazani mizoga
 
Aiseee naanzaje kumuonea aibu mtu ninae share nae kitanda jamani?Huyo ata kujamba mbele yako anaweza kweli?[emoji39]
wanawake mnaq siri sana labda kunako hakupo sawa. siwezi kumkwaza ila navumilia tuu kidogo nachopata nashukuru
 
Duh!!Miaka mitano hujawahi kuona nyeti zake!![emoji75] [emoji75]
 
Labda uke wake una ndevu kama sharubu za kambale ndio maana anaona aibu😉
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Sasa unataka muwe mnafanya mapenzi mchana kwani nyie wahindi? huyo mkeo anachofanya ni poa kabisa,inaonekana wewe hujui ile formula ya S.U.D.A.N yaani Sex Usual Done At Night.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
yan inamana hata doctor aliemzalisha kakuzidi katika kujua nyeti za mkeo
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Niko kwenye ndoa zaidi ya miaka mitani lakini cha kushangaza muda wote huo hatujawahi kufanya mapenzi mchana, yani sisi ni mwendo wa usiku tuu tena kipindi watoto wamelala na taa zimezimwa zote.
Htaki kabisa taa iwe imewaka na huwa hapigi ile miguno ya raha yani yeye ni mwendo wa kimya kimya tuu, tuna watoto wawili.
Najua hapa mtashangaa ila ni kweli sijawahi kuona sehemu zake za siri.
Ana aibu kweli hadi kero, wakati anavaa chupi huwa anajivaa kanga yake anavaa umo humo. Nimejaribu mara nyingi kumchungulia hata kumshtukia lakini sijafanikiwa.
Sitaki aone kama namghasi sana ila iko siku ntaona tupu zake tuu.
Nliwahi kumuuliza akasema huwa anaona aibi mno na huwa hamna amani/hafrahii kuona namtizama tupu zake.
Kwa kuwa mimi ni mstaarabu sijapenda kumlazimisha natulia tuu ila namhakikishia lazima nione mwili wake wote.
NAWASILISHA.
Mke wako hakupendi.
 
Back
Top Bottom