Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,262
Elli afadhali umeliona
Kuna mambo yanatia wasi wasi kuwa hawa watu kweli ni mke na mume ambao wanalala kitanda kimoja na wana muda wa kukaa pamoja na kuongea na kushauriana masuala yao ya ndani au ni mahawara tuu wamekutana
Maana kama ni mkeo kwa nini msikae pamoja mkaongea na mkalitafutia ufumbuzi swala lenu haswa kwa kwenda hata kuwaona wataalam pamoja mkapata ushauri kabla ya kuja kumuanika mkeo eti anatoa sauti kama subaru
@Mr. Rocky huku watafuta nini hebu nambie.........................Mimi hata nikifanyaje si hauwezi nileta hapa jamvini ukweli uongo Huby???????????