Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,260
Watu wanaotoaga tigo ndo wanaojambaga hovyo huo ndo ukweli kama ulikua hujuihuna akili chizi
Watu wanaotoaga tigo ndo wanaojambaga hovyo huo ndo ukweli kama ulikua hujuihuna akili chizi
Oyaaa weweHabari gani wana jamvi, naimani mu salama.
Leo nimekuja na mada yangu ambayo naomba majibu, kama nilivyoandika katika kichwa cha mada yangu.
Ukweli mke wangu anajamba sana, yaani mpaka muda mwingine nakuwa tu nacheka ili asiboeke. Jana ikabidi nimuulize, "Vipi mama unashida gani mbona unajamba sana?" Akaniambia hamna mi tumbo langu limechafuka sana.
Naomba anahisi nini tatizo aniambie.
Onyo: Majibu ya ustaarabu.
Naomba watu walio serious wajibu, ahsante.
So na wewe unajambaga?Inaweza kua pia dalili ya vidonda vya tumbo. Tumbo kujaa gesi mara kwa mara. Mimi pia nna tatizo hilo na maisha ya enda tu.
Usimfikirie vibaya kwa sababu ninyi ni mwili mmoja na unauhuru wa kuchunguza zaidi
Mwamba nakutafutaHakikisha hali marage huyo akila mishkaki choma na limao daily hajambi tena.
NakaziaNjia ishavurugwa nawajanja
Sio kwa ubaya;Naomba anahisi nini tatizo aniambie
Nipo mzee babaMwamba nakutafuta
Nimefurahia darasa lako la ujambaji.Nipo mzee baba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wanaotoaga tigo ndo wanaojambaga hovyo huo ndo ukweli kama ulikua hujui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si wengine tunapenda hao wanaojamba jamba, wanatia mzuka
Huu ndio ukweli mchungu.Watu wanaotoaga tigo ndo wanaojambaga hovyo huo ndo ukweli kama ulikua hujui
Kuna mambo mengine ni Siri ya ndaniHawa wavulana kwenye ndoa ni tatizo sana.
Ukishakua kwenye ndoa inabidi ujifunze kumsitiri mke wako na kwa wanawake wamsitiri waume zao, Kuna mambo ni siri yako utakiwi kumwambia mtu yeyoteUtoto raha sana