Mke wangu anajamba sana, nini Tatizo?

Mke wangu anajamba sana, nini Tatizo?

Psychologically hili ni suala la upendo means kwamba ukiwa na mpenzi alafu ushuzi ukamjia akajibana jua hajiamini na hana upendo wa dhati nawe na yule ambaye ushushi unamjia na anajiachia pwaaaaaa!!! jua anajiamini na ana amini kuwa yupo mikono salama.
Aucy, ahahhahah kumb htr
 
Tumbo lake linajaa gesi ,aache kula vyakula vinavyosababisha yeye apaze gesi,ale matango ,matikitiki inakata gesi pia akiamka tu anywe glasi moja ya maji ya uvuguvu
Pia aende hospital akapimwe
Ahsante, tutafanyia kaz
 
Back
Top Bottom