Mke wangu anatokwa na uchafu mweupe kwenye uke

Mke wangu anatokwa na uchafu mweupe kwenye uke

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
887
Reaction score
1,596
Hamjambo, mke wangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na uchafu mweupe wenye harufu kwenye uke na anadai akijichungulia anauona umeganda kwenye kuta za uke nilimpeleka hospital walimpima UTI majibu hana wala hana maambukizi

Je hii tatizo linaweza kua PID na kama PID tiba yake ni nini ya asili au hospitali kuna mtu alimshauri atumie mziwaziwa
MSAADA WA MAWAZO TAFADHALI
 
Kwahiyo Dr ndiye aliyeshauri mpime UTI?

Alafu alivyokuta UTI hana, akawaruhusu kuondoka bila kipimo zaidi?

Na wewe hukumuuliza kuhusu PID, umekuja kuuliza huku JF?​
 
Back
Top Bottom