Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 21,982
- 47,209
Shukran bossumeongea pwenti mkuu
Shukran bossumeongea pwenti mkuu
Hatimaye mwamba Extrovert huyu hapaaHakikisha hali marage huyo akila mishkaki choma na limao daily hajambi tena.
HapanaUmeolewa?
Hongera mkuuSijui shida inakuaga nini mimi pia iliwai kunitokea iyo hali yani sio kawaida inakua imepitiliza hasa usiku nikilala ila sasaiv imepotea yenyewe tu bila kufanya kitu
Mimi sijawai kunywa pombe yoyote ila iyo hali inanijiaga tuHio manaake turbo ya ushuzi iko wazi 😀 ni kawaida kama anakunywa sana bia za ngano! Au vyakula vya ngano kama chapati, mandazi nk.
We mkuu majibu gan hayoWeka video akiwa anajamba upewe muongozo...
Alikua anaingiliwa kinyume na maumbileHabari gani wana jamvi, naimani mu salama.
Leo nimekuja na mada yangu ambayo naomba majibu, kama nilivyoandika katika kichwa cha mada yangu.
Ukweli mke wangu anajamba sana, yaani mpaka muda mwingine nakuwa tu nacheka ili asiboeke. Jana ikabidi nimuulize, "Vipi mama unashida gani mbona unajamba sana?" Akaniambia hamna mi tumbo langu limechafuka sana.
Naomba anahisi nini tatizo aniambie.
Onyo: Majibu ya ustaarabu.
Naomba watu walio serious wajibu, ahsante.
Mkuu kitaalamu hio mara nyingi huwa ni dalili ya awali ya Ulcers (VIDONDA VYA TUMBO)...Naomba anahisi nini tatizo aniambie.
Aiseee 😀😀😀😀Kwenye rangi nyekundu kunathibisha na kudhihirisha hujakomaa kiasi cha kuweza kuwa na mke.
Unashindwa kuvumilia kuandika neno kamili, unaandika vifupi, je utaweza kukaa na mke kweli. Ukikosa uvumilivu kwa vidogo huwezi kuvumilia vikubwa.
Hamna mtu mwenye mke mwenye tatizo akaja jukwaani kumdhalilisha mkewe.
Kama kweli mkeo ni mjambaji ungekuja kwa staha na kuuliza dawa ya kutibu tatizo hilo.
Huna mke wewe mwanafunzi, shule zimefungua, acha kutega shule
memtaja jina?Mkeo!? We hizo ni sili za ndoa mzee muifadhi mwenzio
Si wengine tunapenda hao wanaojamba jamba, wanatia mzukaHabari gani wana jamvi, naimani mu salama.
Leo nimekuja na mada yangu ambayo naomba majibu, kama nilivyoandika katika kichwa cha mada yangu.
Ukweli mke wangu anajamba sana, yaani mpaka muda mwingine nakuwa tu nacheka ili asiboeke. Jana ikabidi nimuulize, "Vipi mama unashida gani mbona unajamba sana?" Akaniambia hamna mi tumbo langu limechafuka sana.
Naomba anahisi nini tatizo aniambie.
Onyo: Majibu ya ustaarabu.
Naomba watu walio serious wajibu, ahsante.
huna akili chiziAlikua anaingiliwa kinyume na maumbile