Mke wangu anajamba sana, nini Tatizo?

Mke wangu anajamba sana, nini Tatizo?

Stress ni hatari kwa afya ya binadamu
Tumuombee tu mtoa mada hajui alitendalo
Imenitafakarisha sana. Ikanibidi nipitie tena comment yako kwa undani zaidi. Nikitafakari nikiwa upande wake.

Lakini sijaona ujumbe wowote wa kukera.

Mungu amsaidie
 
Hbr gan Wana jamvi, naiman mu salama

Leo nimekuja na mda yangu ambayo naomb majibu, Kam nilivyo andika katika kichwa Cha mada yangu.

ukweli mke wangu anajamba Sana, Yani mpaka sometime nakuwa tu nacheka ili asiboeke, jana ikabidi nimuulize, "vp mam unashida gani mbona unajamba san"?, akaniambia Amna mi tumbo langu limechafuka San.

Naomba anahisi nin tatzo aniambie.

Onyo;Ukijibu Mambo kimiyeyusho nami nakujibu mavi serious.

Naomba watu walio serious wajibu, ahsant
Kwenye rangi nyekundu kunathibisha na kudhihirisha hujakomaa kiasi cha kuweza kuwa na mke.

Unashindwa kuvumilia kuandika neno kamili, unaandika vifupi, je utaweza kukaa na mke kweli. Ukikosa uvumilivu kwa vidogo huwezi kuvumilia vikubwa.

Hamna mtu mwenye mke mwenye tatizo akaja jukwaani kumdhalilisha mkewe.
Kama kweli mkeo ni mjambaji ungekuja kwa staha na kuuliza dawa ya kutibu tatizo hilo.
Huna mke wewe mwanafunzi, shule zimefungua, acha kutega shule
 
Sijui shida inakuaga nini mimi pia iliwai kunitokea iyo hali yani sio kawaida inakua imepitiliza hasa usiku nikilala ila sasaiv imepotea yenyewe tu bila kufanya kitu
Umeolewa?
 
Hbr gan Wana jamvi, naiman mu salama

Leo nimekuja na mda yangu ambayo naomb majibu, Kam nilivyo andika katika kichwa Cha mada yangu.

ukweli mke wangu anajamba Sana, Yani mpaka sometime nakuwa tu nacheka ili asiboeke, jana ikabidi nimuulize, "vp mam unashida gani mbona unajamba san"?, akaniambia Amna mi tumbo langu limechafuka San.

Naomba anahisi nin tatzo aniambie.

Onyo;Ukijibu Mambo kimiyeyusho nami nakujibu mavi serious.

Naomba watu walio serious wajibu, ahsant
Mpeleke hospitali
 
Mtoa mada anaonekana bado ni mtoto/hajakomaa na pia hayupo kwenye ndoa.
Amekuja na mada yake ya kijinga kichwani akiwa na majibu tayari ila akakutana majibu tofauti coz watu wanajua alichokua anataka kujibiwa.
 
Back
Top Bottom