Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Hivi kila mkeo anapoomba ruhusa ya kwenda sehemu lazima umruhusu? kuna udhaifu upande wako na kwa ufupi mkeo kuna mtu anamzingua. Nakushauri tafuta mtu mlipe hela ya kumchunguza haswa hawa bodaboda na ukishamjua mwizi wako mfuate huyo mwanaume mwambie ukweli kikauzu kuhusu tabia ya kutembea na mkeo na mkanye. Ukiona anaendelea ni PM nikuelekeze jinsi ya kumuadabisha

Halafu tuwasiliane PM kwa ushauri zaidi
 
Unajua kwenye mapenzi kuna washika dau na wawekezaji pia. Katika ndoa ukishaona mabadiliko kama hayo ujue mwenzako kisha pata mwekezaji au mshikadau. ikitokea hali hii inabidi muongee ili mmalize tatizo. Inabidi muongee kwasababu hata mlivyoanza mliongeaa (kutongozana). Kama mmeshindwa kuelewana katika maongezi, basi ni bora mtengane tu ili kuepusha madhara mengine ya baadae.
 
Huyo c wako Pekee kwa uzoefu.. Lazma kuna mwenzako kama ww anamicha
 
Pole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu

Kama unaweza njoo pm

Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
I concur!
 
Daah pole sana kamanda! Japo waswahili wanasema kosa moja halimfukuzi mke.... japo ulichokiamua ukiweza kukisimamia kitakuletea majibu sahihi. Mimi kabla sijaoa nilifanya uchunguzi binafsi na nikatambua ndoa inamuhitaji mwanaume... vilevile nikatambua pia ndoa nyingi zinamatatizo na mapungufu mengi sana... hivyo basi unahitajika moyo wakipekee sana katika kutatua matatizo. Mara baada ya kumuoa mke wangu nikakaanae chumbani tukatunga sheria ambayo haitamuonea mtu. Mwisho tukahitimisha kwa sheria moja kuu kwamba ikitokea sisi wenyewe tumeshindwa kuelewana kwa yaliyotokea kwetu basi hatuhitaji msuluhishi yoyote toka nje ya nyumba yetu kile tutachoamua ndio sulihisho. Hivyo broo pasina kumuonea mkeo au wewe kuonewa. Vile utavyoona inapendeza we usisite kufanya maamuzi sahihi. Kila la kheri.
 
Penye miti hakuna wajenzi mkuu ..yaan kuna watu hawajui thamani ya kupendwa duuh
Halafu huwezi kumjibu mume wako hivo kama unajibishana na shost/rafiki barabarani, mume ana heshima yake tena hasa anapokua ndani ya nyumba na kwa mujibu wa hii kesi huyu dada hata kama ana haki ameshapoteza haki yake lile jibu tu "sina majibu" kwa kweli linaleta mfadhaiko moyoni

Mnapokua ndoani swala la umimi hua halipo mmekua mwili mmoja lazima mshirikishane mshauriane kufikia malengo ambayo mnajiwekea, mtunakianza siri zisizo mpango mambo kama haya hupelekea ndoa kua hatarishi, haikua na lazima pia ya kumfata unayemkopa hasa muda mbaya kama huo at least ingekua asubuh yan amejitengeneza mazingira mwneyewe ya kumhukum
 
Kuna vitu Lissa Lee haviwezi kuvumilika! Moja Mwanamke mwenye kiburi... Huwezi ukafanya maamuzi makubwa bila kumshirikisha Mume wako! Maana kama nakuheshimu na nakushirikisha kila kitu unapofanya hivyo unaua trust na Mwanaume kama Kiongozi yeyote haangalii issue ya trust kwa jicho la Leo.. Anaangalia miaka mbeleni.. Kama hujataka kuwa mwaminifu leo ni nini guarantee utakuwa mwaminifu huko.mbeleni?!

Pili kosa ambalo ukienda nalo kwa baba mkwe yeyote yule.. Atakupokea na kukupa chai na kucheza karata ni kosa la mwanamke mzinifu.. Utashangaa mpk baba mkwe atakuwa upande wako.. Its true hatuwezi jua.. Lakini mke Wa MTU hata kuwa katika mazingira ya kutuhumiwa ni kosa. Na kama hanyooshi maelezo basi anakiburi ..rejea point namba moja.

Kwa kifupi mwanamke kuna kauli hapaswi kusema.. Kauli kama "mbona...." Au "kama hivyo basis bora uniache" au "kwani wewe mkamilifu" .. Mie dereva nachojua lengo ni familia wafike salama.. Hujawahi kukuta mwanaume mleevi..ila watoto wake kanisani mpk jumatano.. Mke wake kanisani msafi ..na watoto upright?! Hii yote ni kujua sio kila pastor ataenda mbinguni ila kazi yake ni kuhakikisha mnapata ujumbe utaowasaidia kuutafuta ufalme Wa mungu..

Waheshimuni Waume zenu..
well said!!
 
Ushauri gani sa hapo unataka tukupatie.

Wataendelea kukusaidia mkuu kwa akili hii.

Be a real man.
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
Mkuu jaribu kukaa nae akuambie tatizo ni nini. Busara itumike ktk kulitackle hilo swala.
 
Mkuu mkeo kachelewa unalalamika?alipashwa kukuta ushaanda b.olo,umpe mjeredi haswa,fimbo lugoda
 
Ulipokosea ni ile siku uliyo mpiga ila ulipopatia ni kumuacha achukue vitu vyake.

Nb: ukirudi nyumbani kagua nyaraka zako zote muhimu kama zipo salama. Maana huyo achelewi kukuchomea vyeti vyako (eti ili akukomoe)
 
Back
Top Bottom