Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

We nae ni zero kabisa yaan kakopa kwa mwanaume mwingine we upo tu umeshindwa kumpa hiyo pesa au we ndo ukakopa ukamletea then, sasa dume zima unalalamika tu hapa, acha alomkopesha atake care we huwezi
 
Sasa ushamwambia achukue vitu na funguo aache kwa jiran alafu bado unatafakari cha kumfanyaa tenaa wakat ushamruhusu asepee
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
TATIZO MWANAUME UKISHAYUMBA KIUCHUMI TU NDO UGOMVI UNAPOANZIAGA,
 
wasikudanganye umuache mkeo kaa naye muongee taratibu pengine wew pia ni chanzo sometimes wanaume huwa mnaoppose mawazo ya wake wenu bila kufikiria deep. au sometimes aneshakuona wew ni mtu wa misimamo flani anajua hata akikushirikisha hutamsapot anaamua kujichukulia maamuzi yake
kwa mfano labda alienda kukutana na wamama wenzake na walichokuwa wanajadili hajawah kukushirikisha coz wew c wakusupoti idea za wenzako

shortly kaa na mwenza wako muongee muyamalize kama unahic umemchoka mwache taratibu kumpiga/ kumgombeza won't solve ur problems
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
KUCAHAPIWA SIRI YA NDANI
 
Haaa umfanye nn si umemwambia aondokee bas ilo jema mbon kuliko kupigan siku mwisho mtoane rohoo
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
Isipokuwa mwanaume suruali, mwanaume kamiki huwa halalamiki jamii forums matatizo ya mumewe/mkewe.

Gangamala wewe,vinginevyo wajanja wa mujini wameisha anza kuwekeza
 
Pole baba Love

Hapo hakuna mapenzi tena, alikuwa anatafuta sababu tu !!!! Mwache na kiburi chake dunia ikamfunze huko, nakuambia atakukumbuka huyo. Kuwa na amani kabisa Mkuu kuna mtu anampa kiburi huyo, haiwezekani mwanamke umeolewa unarudi nyumbani saa nne with no reason!!!!

Mwache aende!!!
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
Keshapata wajanja mzee chukua tu maamuzi magumu, mtupe tu
 
Mkuu ndoa yako iko katika hatua mbaya mno,katika hali ya kawaida tayari kuna mtu ameingilia ndoa,fanya ivi;Jiulize kama ni tabia yake toka awali ya kuwa mkaidi na kutokutoa majibu pale unapomuuliza kuhusu jambo ambalo unamashaka nalo,kama ni kawaida yake hapo umeoa sipo nikimaanisha Shem hakupendi Kuna vya ziada vilimfanya akubali kuolewa na wewe,kama awali alikuwa normal aisee,,, solution sio kumuacha,Find that idiot who cheat her and do him however you wish and make you marriage safe,maana ili amsahau ni huyo mtu kutakuwa karbu na wife wako,lakn kumwambia wife wako aachane nae is just like telling her to find the best techniques to meet him,think about time,Mali ulizochuma nae na ukoo mliouunganisha sasa kubreak soon kama hivyo itaonesha jinsi brain yako haiko active katika kuokoa ndoa katika mapito ya hatari kama hayo,pole mkuu think twice and more twicely,good luck.
 
Wakuu habari za asubuhi,

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu.

Jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela (hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani.

Nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipojaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka uache ufunguo kwa jirani.

Sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari la kumfanya sipati majibu.

Naombeni msaada wazee wenzangu.
Baada ya kupokea ushauri, baadae uje utuletee mrejesho wa kinachoendelea..
 
Mke wa mtu huwezi kukopa bila idhini au kutoa taarifa mkakubalia na mumeo

Mke wa mtu unapaswa kujiheshim sana sana huwez kuondoka jioni ukarudi saa nne ukiulizwa unajibu et sina majibu hiyo ni dharau, kuna mawili either kuna mtu anamchanganya akili yake i mean amepata mwanaume wa kando au ameshajua unampenda so haishi vituko lakini hata kama unajua unapemdwa na mumeo si kwa vituko hivi kupelelekea kuhatarisha ndoa

Amekwambia umpe vitu vyake aondoke huyo si mke tena anako kunakompa jeuri hizo, sometimes kwenye mahusiano inapaswa kujiongeza sana unasoma mazingira na wewe unaamua kujiongeza tu
Penye miti hakuna wajenzi mkuu ..yaan kuna watu hawajui thamani ya kupendwa duuh
 
Kuna vitu Lissa Lee haviwezi kuvumilika! Moja Mwanamke mwenye kiburi... Huwezi ukafanya maamuzi makubwa bila kumshirikisha Mume wako! Maana kama nakuheshimu na nakushirikisha kila kitu unapofanya hivyo unaua trust na Mwanaume kama Kiongozi yeyote haangalii issue ya trust kwa jicho la Leo.. Anaangalia miaka mbeleni.. Kama hujataka kuwa mwaminifu leo ni nini guarantee utakuwa mwaminifu huko.mbeleni?!

Pili kosa ambalo ukienda nalo kwa baba mkwe yeyote yule.. Atakupokea na kukupa chai na kucheza karata ni kosa la mwanamke mzinifu.. Utashangaa mpk baba mkwe atakuwa upande wako.. Its true hatuwezi jua.. Lakini mke Wa MTU hata kuwa katika mazingira ya kutuhumiwa ni kosa. Na kama hanyooshi maelezo basi anakiburi ..rejea point namba moja.

Kwa kifupi mwanamke kuna kauli hapaswi kusema.. Kauli kama "mbona...." Au "kama hivyo basis bora uniache" au "kwani wewe mkamilifu" .. Mie dereva nachojua lengo ni familia wafike salama.. Hujawahi kukuta mwanaume mleevi..ila watoto wake kanisani mpk jumatano.. Mke wake kanisani msafi ..na watoto upright?! Hii yote ni kujua sio kila pastor ataenda mbinguni ila kazi yake ni kuhakikisha mnapata ujumbe utaowasaidia kuutafuta ufalme Wa mungu..

Waheshimuni Waume zenu..

usiseme hvy ,,, una uhakika gn km anachepuka ,,, jiangalie na ww una mapungufu ganikw mwenzio,, huwa mnajisahau sn nyie wanaume
 
Wengi wetu yumemshauri amuache aende! Ushauri wenu sikubaliani nao. Kwa nini mtoe hukumu mapema ivi? Ndoa yao ina muda gani? Wana watoto wangapi? Wao wana umri gani? Mwanaumwe mwenyeni ni msafi kwa %100 ngapi? Naomba wakae pamoja waongee vizuri tu.
[emoji78]Hakuna cha kuogea hapo ni kumfukuza tuu...
 
Back
Top Bottom