Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Mke wangu anachelewa kurudi nyumbani

Uyo usikute hakua na hela ya Kurudisha mkopo na alikopa kwa njemba
So labda alienda kulipa kwa njia nyingine usiniulize kwa njia gani

Fukuza kabisa uyo baada ya miezi mitatu akiwa kashachokwa uko alikoenda atarudi mwenyewe na husifanye kosa la kumrudia maana itakuwa ndo tabia yake

Note:sifurahii ndoa kuvunjika ila kuna mambo lazima ufanye maamuziagumu ndio maana vijana hawaoi
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..
Hapo ni manyoya tupu ndugu yangu. Kuku keshaliwa huyo. Piga chini haraka sana bila kupepesa macho. Jeuri yake apeleke kwao.
 
Mleta mada majibu yote unayo tatizo ni kuwa bado unampenda. Umekwenda kazini ukijutia kwanini ulimwambia achukue vitu vyake na aondoke. Hasira kubwa ni kuwa mwanamke hakukuomba msamaha lakini unafahamu fika kuwa mzigo jana uliliwa.
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..
Unasubiri ukuue ndo umwaache. Ushukuru kakwambia anaondoka mruhusu mbona mungu alivyoona lucipher anamwaasi alimwoondoa wewe unasubiri nini? Umerogwa siyo bure!
 
Unatombewa weweeee
Amkaaaa ki akili
Maadam unataka ushauri mimi sipindishi kona kona bali ukweli ni kwamba unatombewa pambana na tabia yake
Tuache cc tupambane na hali zetu[emoji1321]

Mkuu tafsida inapunguza pressure maana kwa maneno hayo mtu anavuta hadi taswira mama lovenes akipokea kichapo cha heavyweight!! Kuua bila kukusudia sio mpaka umkanumbe mtu kama Lulu!!
 
Wakuu habari za asubuhi

Naombeni msaada nimfanyaje huyu mke wangu..jana ameniaga anaenda town kupeleka hela mida ya jioni kwa mwanaume aliye mkopesha hela(hizo hela alikopa kwa nguvu bila idhini yangu) but amekaa huko hadi saa nne usiku ndiyo akarudi nyumbani,,nimejaribu kumuuliza alikuwa wapi muda wote huo akaniambia hana majibu na nilipo jaribu kuendelea kumuuliza kwa ukali akanijibu nimpe vitu vyake vyote aondoke akatafute pakukaa nami nikamjibu kwa kutumia akili ndogo chukua vitu vyako uende na akiondoka aache ufunguo kwa jirani..sasa hivi nimeondoka nimeenda job huku nikitafakari lakumfanya sipati majibu naombeni msaada wazee wenzangu..
Kukosa la kujibu ni dhahiri hakujiandaa kujibu swali ambalo alijiaminisha huwezi kumuuliza. Kwa uzoefu inabidi kuwa makini sana pale mkeo anapokuwa anaanza tabia flani za kufanya maamuzi mfano kukopa ama kwenda sehemu amabzo hataki ufahamu. Hapo kuna ushawishi flani kitoka nje kuwa huwezi kumfanya lolote. Sasa inapofikia wakati anaweza kitamka kuwa tuachane ni kiwa haoni jambo lolote baya kutokuwa na wewe. Niaminie mwanamke akikuambia kama vipi tuachane hapo uthibitisho ni mia ya mia anajua yuko mwanaume mwingine. Akikuona legelege utaendeshwa kama gari bovu. Kukuambia anataka kuondoka anajaribu kukupima kama unaweza kufanya maamuzi kama mwanaume au huna msimamo. Chakufanya shikilia uamuzi wako wa kuridhia aondoke. Pili usipoteze muda wako kumtafuta hata kuulizia alipo na ikiwezekana mwambie atafute mahali anakodhani ndo anataka kwenda yaani fukuza. Kiburi cha mwanamke anapopata mwanaume mwingine ni kukuona wewe kama takataka. Hata huyo mwanaume anayemshawishi akiona umemfukuza hawatakaa wawe na mahusiano ya muda mrefu atamtema tu. Kama kachepuka naye akiw na wewe kwanini asichepuke akiwa na mwingine? Hii ndio siri ya sisi wanaume kwa mchepuko. Inaumiza san mwanamke akichepuka huko nje afu akuletee dharau ndani ya nyumba. Huwa ni kama akili zinawahama kipindi wakiwa na michepuko. Fanya maamuzi japo itakusumbua siku za mwanzoni ila baad ya muda maumivu yatakuwa ya huyo mwanamke. Bro hapo unaibiwa na sasa kaamua kukuonyesha live.
 
Pole sana Mimi mambo kama hayo siwezi omba ushauri hata kidogo
Akope hela bila Mimi kujua
Kwa MTU nisiye mjua
Arudi mda anaotaka
Huyo MTU angemtumia kwenye simu

Kama unaweza njoo pm

Ukweli kinachotakiwa kumsumbua MTU ni maisha na njia ya kuufikia uzima Wa milele lkn sio mwanaume /mwanamke
Nimependa sana hicho kipengele cha mwisho...
 
Kina city vingine sip vyakuombea msaada kutokana na pale lilipofikia. Umeoa umeolewa?
 
amini usiamini muda wote ule akikuwa anagegedwa na sio mara moja au mara mbili ni wameanzana kitambo sana
 
hebu kumbuka nyuma hujawahi mkosea?? au angalia na ww unamapungufu gn kwa mwenzio,,? sisi wanawake baadhi yetu tunatabia yakuweka vinyongo na kulipiza visasi,, sasa akisha choka kuona vituko vyako ,, ndipo anaanza vituko na yeye,,, kaa chini na mkeo zungumzeni tofauti zenu mfike mwafaka muirudishe amani ya ndoa yenu,,,, kelele ndani ya nyumba hufukuza hata ridhiki
Lkn mwanamke akianza kuchepuka sio wa kukaa naye kwa maongezi, ni kumwacha mara moja.
 
Hii ni mara ya tatu mkuu,,mara ya kwanza nilimpiga sana bt sasa hivi ndiyo kaja na hii style nyingine
Mwanamke akianza kuchepuka huwa ana dharau na kiburi sana. Huwa hawapendwi kukanywa, wao hukimbilia tuachane.
Muache tu mr, kwann uishi kwa mawazo kpind hiki cha wanawake walivyo wengi?
Kuna siku usipoangalia atakutafutia kesi, utaenda segerea yy unamuacha uraiani anagegedwa.
Ila huko yakimshinda huwa wanakuja km wamenyeshewa na mvua.
 
Back
Top Bottom