Mke wangu ana VVU

Mke wangu ana VVU

Da Pretty huyo ndio kanishangaza kabisa ameshindwa kujua ni sawa na kusema uhusiano kati ya Ukimwi na Virusi vya ukimwi! Hakika hiyo debate walidanganya sana...yani mtu ansema kabisa hakuna uhusiano kati ya Ukimwi na virusi vya Ukimwi!duu

Nadhani tatizo lipo katika tafsiri tu, na sioni kama ni swala la kujengea hoja na kuleta malumbano kimtazamo.
Nadhani upo uhusiano kati ya VVU na UKIMWI, lakini sijui kama UKIMWI ni MARADHI.

Nadhani pande zote wanaamini kuwepo kwa VVU iwe kwa kutengenezwa au kwa namna yoyote. Maradhi mbalimbali yanayoweza kumpata mtu mwenye VVU pia huweza kumpata asiyekuwanavyo na huweza kuwa ni sababu ya kukatisha uhai kwa yeyote. Haitokei mwenye VVU akaugua malaria, kuharisha, kifua kikuu, kisukari n.k. halaf maradhi hayo yakaitwa kwa jina jingine. Maradhi ni hayohayo lakini huwezatokea kumdhoofisha sana mwenye VVU ukilinganisha na asiyekuwanavyo kutokana na tofauti katika kinga zao za mwili dhidi ya maradhi. Hivyo UKIMWI ni hali ya mwili kukosa kinga ambayo imesababishwa na VVU, lakini UKIMWI sio maradhi. Correct me.

VVU - Virusi vya ukimwi
UKIMWI - Ukosefu wa kinga mwilini.
 
Last edited by a moderator:
Nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013.

Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo nimepima. Yeye ananipenda ila nimeingia hofu naogopa mno hata kumgusa.

Nifanyeje wakuu?

Wachana nae...huyo mwanamke ni muuaji. Plus inawezekana kuivunja hyo ndoa hata kama ni ya kanisani. I'm sure of it, hata bible ilishaeleza such circumstances. Ongea vizuri na viongozi wa dini wakupe muongozo.
 
Pole sn mkuu,habar yako imenikumbusha kidonda nilichonacho toka tar 14/2 alfajiri kwan mke wangu alizidiwa na kumpeleka hosp kwa ajir ya kujifungua.dr hakuwepo but alipigiwa simu na nesi kuwa kuna emergence so aje haraka.DR ALIPOFIKA NA KUMUONA MAMA ANAYETAKIWA KUJIFUNGUA (MKE WANGU) AKAULIZA KM MUMEWE AMEKUJA NAYE NIKIWA MWENYE KUJIAMIN SN NIKAMJIBU NIPO HAPA.

YALIYOENDELEA HAPO MUNGU MWENYEWE NDIO ANAJUA.NI MTOTO WETU WA 2 NA WA KWANZA HANA MAAMBUKIZI NAMI SINA HAYO MAAMBUKIZI BUT YEYE AMEATHIRIKA.NASHUKURU MUNGU ALIJIEUNGUA SALAMA NA MTOTO ANATUMIA DAWA ZA KUMKINGA NA MAAMBUKIZ KUTOKA KWA MAMA KWA KUNYONYA.BAADA YA WIK 8 INABID HAACHISHWE KUNYONYA.

NILIMPELEKA KWAO ILI AJIFUNGULIE HUKO NAMI NILIKAA CK 5 BUT BAADA YA HIYO HALI NILIONDOKA SIKU HYO HYO ALIYOJIFUNGUA NA MWANANGU WA KWANZA.SIKUAGA MTU HADI MAMA MKWE CKUFANYA HVYO.SIMU NILIZMA KWA CK 3 NDIPO NILIPOWASHA NA KUMWAMBIA TUPO SALAMA NA HASIANGAIKE KUTUTAFUTA(MIMI&MTOTO).HADI HII LEO NI MWEZ SASA NA CK 4 NATESEKA KILA NINAPOMWANGALIA MTOTO NILIYENAYE

Mkuu story yako imenisisimua kuliko ya mleta mada. Ee Mola tunusuru waja wako.

Popote ulipo Madame S twende tukapime kabla hujajifungua mimba yetu.
 
Last edited by a moderator:
mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana

Mkuu huyu alidhamiria kukuuwa.Mungu alikukinga kwa kuwa hukujua sasa ameona yatosha amekujulisha huenda ile kinga yake akaitoa sasa.
Alifanya tendo la kinyama sana afaa kufungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutupwa baharini.
 
mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana

I can't forgive her for ths..
 
Inanisikitisha sana kuona bado watu wengi tuko katika very primitive age kifikra na kielimu.Siwalaumu wale ambao hawajawahi kukutana na post zangu humu JF.Kuna wale ambao wamekutana na post zangu lakini bado wanaendeleza KASUMBA hatari ya ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS.
Pamoja na mifano yote niliyotoa na mingine ndio kama hii inakuja yenyewe humu JF lakini watu bado wanang'ang'ania kukumbatia kasumba hii ya muda mrefu kwamba HIV anasababisha AIDS.Nilishaeleza hili kwa kina na mapana na nimetoa link nyingi na mifano hai na mifano mingine mnaiona wenyewe humu JF na pia nimetoa scientific evidences/proof/paper kuthibitisha kwamba HIV hasababishi AIDS kama tulivyojua tangu miaka zaidi ya 30 iliyopita.AIDS/UKIMWI ni ugonjwa ambao upo karne mingi zilizopita kabla hata ya karne hii ya leo na hausababishwi na HIV/VVU na pia una tiba rahisi sana na unapona kabisa.Haya ndio madhara yanayotokea kama sayansi itatumika vibaya na watu wasio waaminifu na wabinafsi,watu wanaamini HIV/AIDS kama wanavyoamini dini zao,hata panapotokea mkanganyiko lazima watakuwa na majibu hata kama majibu hayo si sahihi.Wengine humsingizia mungu,wengine husema ni bahati tu,lakini sijaona wale ambao wamejiuliza maswali ya msingi kuhusu ugonjwa huu zaidi ya kumsingizia mungu na kusema ni bahati tu.
Kwa wale ambao wana nia ya kuondokana na KASUMBA hii hatari kwa maisha yao na ya ndugu zao mnaweza kufuatilia post zangu kwenye threads za hapo chini.Watakaofanya hivyo mtanielewa nina maana gani na hamtaogopa tena HIV/AIDS.Kwenye post zangu kuna watu kama ninyi ambao huanzisha debate kupinga maelezo ninayotoa na wengine ni madaktari ingawa wanakataa professions zao lakini baada ya kuwabana huingia mitini wasirudi tena.Kama kuna mtu ana swali linamtatiza niko tayari kumjibu kwa uthibitisho/evidence,sihitaji mabishano,kama unapinga ninachoeleza na huna scientific proof/paper/evidence kaa pembeni ili usipotoshe wengine.
Mamilioni ya watu wameshakufa hadi sasa kwa sababu ya kuamini KASUMBA hii.Kilichowaua si kingine bali ni dawa za ARVs walizotumia.Ukitumia ARVs it is just a matter of time,lakini lazima zikulaze chini.Dalili tunazoziona kwa wagonjwa ambao tunaambiwa wana VVU/UKIMWI katika late stages zao hazikusababishwa na VVU/HIV bali zimesababishwa na ARVs.

1.HIV hasababishi AIDS
2.ARVs ndio husababisha AIDs kwa kuua DNA
3.HIV/AIDS hauambukizwi kwa kufanya sex/ngono isiyo salama.
4.HIV haui T-Cells(CD4) mwilini
5.Mgonjwa yeyote aliyedhoofika(mwenye UKIMWI) ambaye hatumii ARVs lazima kutakuwa na ugonjwa unaofahamika ambao una tiba na anapona kabisa kama atatibiwa vizuri mfano;TB,Pneumonia,Dibetes nk.
6.Vipimo vyote vya HIV havipimi HIV menyewe kwa muonekano bali hupima antibodies against certain proteins believed to come from HIV BUT THESE PROTEINS ARE NOT SPECIFIC TO HIV itself.Na ndio maana hakuna daktari yeyote unayemjua ambaye ameshawahi kuviona Virusi vya ukimwi.Hivyo basi vipimo vyote vina more than 90% kutoa majibu ya uongo na hata yakitoa majibu sahihi kwamba una HIV bado pia haina maana kwa kuwa HIV hana madhara mwilini na hasababishi AIDS/UKIMWI bali ukimwi husababishwa na lifestyle ya mtu(matumizi ya madawa ya hospitali mara kwa mara kama vile ARVs,malnutrition,unywaji wa pombe kupindukia bila kula vizuri,madawa ya kulevya,radiation,chemotherapy,Stress/msongo wa mawazo nk).

nengunia pengine ushauri wangu ni mgumu sana kuliko wote,lakini ndio sahihi zaidi ya wote.Usimwache mke wako HIV haambukizwi kwa njia ngono na vimiminika vingine na zaidi ya yote hana madhara mwilini yaani hasababishi AIDS kama tunavyoamini zaidi ya miaka 30 iliyopita.ARVs ndio mtego waliotuwekea ambao ni suala la muda tu ARVs humlaza anayezitumia hutegemea na lishe ya anayezitumia,lishe duni muda mfupi wa kulazwa,lishe bora muda mrefu.ARVs hazina faida yoyote zaidi ya hasara mwilini.Ni ukosefu wa uelewa wa sayansi ndio unatufanya tuwe malimbukeni bila kujijua.Fuatilia threads za hapo chini usome nilichoandika utanielewa namaanisha nini.
Wewe umeshajiuliza kwa nini hadi leo hujaambukizwa HIV?Najua ukienda kwa daktari lazima atakuwa na jibu hata kama ni la uongo.Tukio lako ni moja ya uthibitisho ya yale ninayojitahidi kuwaelimisha watu mara kwa mara lakini watu wanapuuzia kwa kuwa mimi sio Obama,sio Robert Gallo,Sio Antonio Faucci,Sio Luc Montagnier na wengine maarufu kama hao.
Umeshawahi kusikia mtu mmoja tu anakuwa sahihi ktk jambo fulani lakini wengine wote wamekosea?Nitakupa mfano mmoja tu;Zaidi ya karne 4 zimepita Galileo Galilei alisema kwamba dunia huzunguka jua,kitendo hicho kilimfanya kanisa limfunge.Lakini karne 4 zimepita leo hii ukweli uejulikana kwamba dunia kweli inazunguka jua.Miaka ya hivi karibuni Dr.Peter Duesberg amesema kwamba HIV is harmless passenger virus na hasababishi AIDS kama wengi wanavyojua bali AIDS husababishwa na sababu nyingine kabisa zikiwemo dawa za ARVs.Duesberg amepoteza grants nyingi sana Marekani kwa kusema hivyo,amepoteza hata uprofesa wake na fund nyingi sana na amezuiwa kufundisha wanafunzi,lakini hamna mtu yeyote ndani na nje ya Marekani mwenye uwezo wa kupinga hoja zake kisayansi.Muda utafika dunia itajua ukweli kuhusu hili lakini I am sorry kwa wale ambao watachelewa kufahamu ukweli huu.

Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola
Kwa mtu mwenye HIV, Ni dalili gani za kwanza humpata, na huonekana baada ya muda gani?
Dawa ya kuzuia maambukiizi ya UKIMWI na itumike muda gani kwa mtu aliyebakwa?

Usikimbilie kubisha,kama una hoja za kisayansi zenye uthibitisho wa kisayansi lete hapa tulinganishe halafu tuone hoja zipi zinaendana na mazingira kwa 100%.

"UONGO RASMI NDIO UONGO MKUBWA/MBAYA KULIKO WA AINA YOYOTE"
 
Mmmh una bahati wew.... ila kwan VVU ni tatizo kwani now day?
 
hapo mkuu kimbia she is a killer kwanini akufiche?huyo ni mtu hatari zaidi ya unavyomjua
 
duh, the only conclusion i have drawn from this post is that you are a sick, pathetic,, deluded and psychotic s.o.b!!
hapo evidence based arguments kwenye post yako ziko wapi? kwa utafiti upi?
 
Back
Top Bottom