Mke wangu ana VVU

Mke wangu ana VVU

mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana

Hiyo ndoa olikiwa null.and void ab initio. Una ground zote za kumtaliki na kuoa mwingine. KANISA linatambua hiyo mkuu
 
Kama u salama yakupasa kushukuru

Hiyo ndoa olikiwa null.and void ab initio. Una ground zote za kumtaliki na kuoa mwingine. KANISA linatambua hiyo mkuu

Hivi ni kwa nini hamjiulizi kwanini yeye hajaambukizwa wakati ameishi naye zaidi ya mwaka?Someni comments za wengine basi msiwe rigid.Kutokana na vile tulivyoambiwa jinsi ambavyo mtu anaweza kupata maambukizi kama kweli HIV anaambukizwa kwa njia ya ngono basi huyu jamaa lazima angekuwa keshapata HIV,lakini kwa nini hamjiulizi hili swali.Watu wanang'ang'ania kutoa ushauri tu bila kujiuliza swali la msingi kama hili.
 
mmmmmmmh hii stori kama yangu yaani kila kitu kinafanana kweli dunian kuna matukio mawili mawili
 
Kweli tumwache mungu aitwe mungu uyo mkeo pamoja na jitiada za kutaka kukuambukiza kwa makusudi lakini mungu amekulinda. Mshukuru mungu na endelea kumwomba
 
Nimekumbuka kitu,katika story story na marafiki tumewah kuongelea kitu kama hiki...
Mtu anaweza kujamiiana na mtu mwenye HIV na asiupate huo ukimwi.
Watu wa namna hiyo wanaitwa carriers(not sure of the spelling).mnakua na vijidudu ila havionyeshi.ILA VIPO.its like they are invisible but they exist in your blood.
Kama am not mistake kuna baadhi ya watu kwenye cells zao wana ccr 5 na wengine hawana ccr5 au co-receptor 5 ni important to hiv replication ni elimu ndefu nitakuja izungumzia one day ok ila inawezekana kabisa ukawa na mtu hiv pos na wewe usipate i have mifano mi 3 active
 
Achana naye kabisa.Huyo mkeo ni muuaji. Hana tofauti na muuaji.Miaka 4 yote yuko kimya. Vipi kama ungeupata ugonjwa angekwambia SAMAHANI? Hapana. Hana sifa ya kuwa mke kwako.Chapa mwendo sina ushauri zaidi ya huo
 
Mi wakati mwingine naona niishi miaka 40 nisepe yaani usipokitana na magonjwa utakutana na wanafik wa mapenzi na Maisha,sijui ata watu.wakoje yaan darm!!?
 
Kama am not mistake kuna baadhi ya watu kwenye cells zao wana ccr 5 na wengine hawana ccr5 au co-receptor 5 ni important to hiv replication ni elimu ndefu nitakuja izungumzia one day ok ila inawezekana kabisa ukawa na mtu hiv pos na wewe usipate i have mifano mi 3 active
Hapo kwenye receptor ushaniacha mbali Sana...hiyo one day ikifika ntaelewa Labda..
 
Na ingekua wewe ndio umekutwa nao? na yeye akusanye akuache... !!! haijakukuta hivyo huwezi kujua cha kufanya, yakikukuta ndio utajua unakusanya vitu au unabaki na mwenzio uliyeapa kwa shida na raha...

Basi wanawake MNA siri kubwa yaan 4years kuna possible reason ya kutowaamini kabisa,duh
 
Hapo kwenye receptor ushaniacha mbali Sana...hiyo one day ikifika ntaelewa Labda..
Ok cul nitakupa elimu ndefu kidogo ujue ila ni cd195
Nikisema cd namaana cluster for differentiation kama unavosikia cd4 cd8 n.k zote zina umuhimu wake mwilini ok
 
Wachana nae...huyo mwanamke ni muuaji. Plus inawezekana kuivunja hyo ndoa hata kama ni ya kanisani. I'm sure of it, hata bible ilishaeleza such circumstances. Ongea vizuri na viongozi wa dini wakupe muongozo.

Mi nawaza there is possiblity uyu mwanamke alipata na vvu ndani ya ndoa sio before,
 
Back
Top Bottom