rymondjamjat
Member
- Aug 28, 2013
- 20
- 0
Cha msingi mjali hata kama utamuacha pia jaribu kuwa nae karibu sana ili usimdhaishe
duh, the only conclusion i have drawn from this post is that you are a sick, pathetic,, deluded and psychotic s.o.b!!
hapo evidence based arguments kwenye post yako ziko wapi? kwa utafiti upi?
mkuyati og una uelewa kidogo kuhusu sayansi hii?Umejiandaa kuelewa au umejiandaa kupinga?Naogopa nisije kupoteza muda kukuelewesha.Matusi kwangu si tatizo na hayawezi kunikatisha tamaa katika safari yangu ya kuwaokoa wengine kutoka kwenye kifungo hiki cha muda mrefu ambacho chanzo chake ni ukosefu wa uelewa wa sayansi na akili isiyopenda kujiongeza miongoni mwa watu.
Je unataka evidence za aina gani nikupe?Sasa hivi nakupa evidence ya scientific papers/proofs hapo chini,na wewe kama unazo scientific papers/proof kupinga hizi zangu lete hapa ubaoni wenye akili walinganishe na uhalisia.Nashukuru kwa kuchangia.
1.HIV hasababishi AIDS
2.ARVs ndio husababisha AIDs kwa kuua DNA
3.HIV/AIDS hauambukizwi kwa kufanya sex/ngono isiyo salama.
4.HIV haui T-Cells(CD4) mwilini
5.Mgonjwa yeyote aliyedhoofika(mwenye UKIMWI) ambaye hatumii ARVs lazima kutakuwa na ugonjwa unaofahamika ambao una tiba na anapona kabisa kama atatibiwa vizuri mfano;TB,Pneumonia,Dibetes nk.
6.Vipimo vyote vya HIV havipimi HIV menyewe kwa muonekano bali hupima antibodies against certain proteins believed to come from HIV BUT THESE PROTEINS ARE NOT SPECIFIC TO HIV itself.
EVIDENCE:
nimejarb kuvaa kiatu chake bt nimeshindwa
sijaua kwetu....nakusanya kilicho changu narudi kwetu sijaua
Na ingekua wewe ndio umekutwa nao? na yeye akusanye akuache... !!! haijakukuta hivyo huwezi kujua cha kufanya, yakikukuta ndio utajua unakusanya vitu au unabaki na mwenzio uliyeapa kwa shida na raha...
......... Ila ukikutana na mtu aliyegundulika kuwa na HIV virus akaishi kwa lishe bora na positive lifestyle vesrus anayetumia ARV utaniambia.
...........napenda kuwashauri kujisomea na kufanya judgement yao binafsi. Niliwahi kuishi Ujerumani kwa muda na kuna muafrika mwenzetu aliugua sana na baada ya kupima akagundulika ana virus vya HIV . Kwa kuwa pale kulikwa na teaching hospital basi walimuomba kuwa sehemu ya matibabu yake itatumika kama teaching. To cut the long story short, ni kuwa yule muafrika mwenzetu aliundergo a series of treatment (hasa kuwa exposed kwenye clean oxygen muda mwingi); na mmoja wa professor wa ile hosp alimwambia "dont worry , U will have HIV virus but u'll never be sick or suffer from it until you do , and I want u to stop those tablets--alikuwa na vi-ARV vyake from Afrika), Ninavyoandia hapa ni mwaka wa sita sasa yule ndugu alirudi kwao, hajawahi kutumia dawa tena na hajawahi kupata ugonjwa nyemelezi zaidi ya normal issues kama kichwa , etc ambavyo mimi na wewe tunapata. Nina mawasiliano naye ya karibu na yupo fit...........
Haya makampuni yana ushawishi mkubwa kwa watunga sera na wakuu wa nchi sitachelea kuamini kuwa proposal za kubadili dawa zinakuwa influenced na hawa. Tafuta moja ya makala zilizoleak kwenye mtandao wa wikileaks "How Big pharma squeeze from dirt poor countries" humo anaeleza hata HIV drugs ni moja ya mbinu za kunyonya watu na kuhakikisha unakuwa tegemezi miaka yote.Nitanakili sentesi moja from that book "The main reason we take so many drugs is that drug companies don't sell drugs, they sell lies about drugs. This is what makes drugs so different from anything else in life...Virtually everything we know about drugs is what the companies have chosen to tell us and our doctors"
Mmegombana mna siku ngapi?Maana naona kaamua kukukomesha kweli, huo mchezo anaokuchezea haki ya mama umemkosea jambo kubwa sana!Kaeni chini myamalize kwa amani!Hizo dawa anakuzuga tu, na kaziacha uzione makusudi ili uumie roho!mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana
kamshtaki yeye ,hospital na huyo mpimaji,then hama hapo haraka sanaNimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013.
Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo nimepima. Yeye ananipenda ila nimeingia hofu naogopa mno hata kumgusa.
Nifanyeje wakuu?
Inanisikitisha sana kuona bado watu wengi tuko katika very primitive age kifikra na kielimu.Siwalaumu wale ambao hawajawahi kukutana na post zangu humu JF.Kuna wale ambao wamekutana na post zangu lakini bado wanaendeleza KASUMBA hatari ya ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS.
Pamoja na mifano yote niliyotoa na mingine ndio kama hii inakuja yenyewe humu JF lakini watu bado wanang'ang'ania kukumbatia kasumba hii ya muda mrefu kwamba HIV anasababisha AIDS.Nilishaeleza hili kwa kina na mapana na nimetoa link nyingi na mifano hai na mifano mingine mnaiona wenyewe humu JF na pia nimetoa scientific evidences/proof/paper kuthibitisha kwamba HIV hasababishi AIDS kama tulivyojua tangu miaka zaidi ya 30 iliyopita.AIDS/UKIMWI ni ugonjwa ambao upo karne mingi zilizopita kabla hata ya karne hii ya leo na hausababishwi na HIV/VVU na pia una tiba rahisi sana na unapona kabisa.Haya ndio madhara yanayotokea kama sayansi itatumika vibaya na watu wasio waaminifu na wabinafsi,watu wanaamini HIV/AIDS kama wanavyoamini dini zao,hata panapotokea mkanganyiko lazima watakuwa na majibu hata kama majibu hayo si sahihi.Wengine humsingizia mungu,wengine husema ni bahati tu,lakini sijaona wale ambao wamejiuliza maswali ya msingi kuhusu ugonjwa huu zaidi ya kumsingizia mungu na kusema ni bahati tu.
Kwa wale ambao wana nia ya kuondokana na KASUMBA hii hatari kwa maisha yao na ya ndugu zao mnaweza kufuatilia post zangu kwenye threads za hapo chini.Watakaofanya hivyo mtanielewa nina maana gani na hamtaogopa tena HIV/AIDS.Kwenye post zangu kuna watu kama ninyi ambao huanzisha debate kupinga maelezo ninayotoa na wengine ni madaktari ingawa wanakataa professions zao lakini baada ya kuwabana huingia mitini wasirudi tena.Kama kuna mtu ana swali linamtatiza niko tayari kumjibu kwa uthibitisho/evidence,sihitaji mabishano,kama unapinga ninachoeleza na huna scientific proof/paper/evidence kaa pembeni ili usipotoshe wengine.
Mamilioni ya watu wameshakufa hadi sasa kwa sababu ya kuamini KASUMBA hii.Kilichowaua si kingine bali ni dawa za ARVs walizotumia.Ukitumia ARVs it is just a matter of time,lakini lazima zikulaze chini.Dalili tunazoziona kwa wagonjwa ambao tunaambiwa wana VVU/UKIMWI katika late stages zao hazikusababishwa na VVU/HIV bali zimesababishwa na ARVs.
1.HIV hasababishi AIDS
2.ARVs ndio husababisha AIDs kwa kuua DNA
3.HIV/AIDS hauambukizwi kwa kufanya sex/ngono isiyo salama.
4.HIV haui T-Cells(CD4) mwilini
5.Mgonjwa yeyote aliyedhoofika(mwenye UKIMWI) ambaye hatumii ARVs lazima kutakuwa na ugonjwa unaofahamika ambao una tiba na anapona kabisa kama atatibiwa vizuri mfano;TB,Pneumonia,Dibetes nk.
6.Vipimo vyote vya HIV havipimi HIV menyewe kwa muonekano bali hupima antibodies against certain proteins believed to come from HIV BUT THESE PROTEINS ARE NOT SPECIFIC TO HIV itself.Na ndio maana hakuna daktari yeyote unayemjua ambaye ameshawahi kuviona Virusi vya ukimwi.Hivyo basi vipimo vyote vina more than 90% kutoa majibu ya uongo na hata yakitoa majibu sahihi kwamba una HIV bado pia haina maana kwa kuwa HIV hana madhara mwilini na hasababishi AIDS/UKIMWI bali ukimwi husababishwa na lifestyle ya mtu(matumizi ya madawa ya hospitali mara kwa mara kama vile ARVs,malnutrition,unywaji wa pombe kupindukia bila kula vizuri,madawa ya kulevya,radiation,chemotherapy,Stress/msongo wa mawazo nk).
nengunia pengine ushauri wangu ni mgumu sana kuliko wote,lakini ndio sahihi zaidi ya wote.Usimwache mke wako HIV haambukizwi kwa njia ngono na vimiminika vingine na zaidi ya yote hana madhara mwilini yaani hasababishi AIDS kama tunavyoamini zaidi ya miaka 30 iliyopita.ARVs ndio mtego waliotuwekea ambao ni suala la muda tu ARVs humlaza anayezitumia hutegemea na lishe ya anayezitumia,lishe duni muda mfupi wa kulazwa,lishe bora muda mrefu.ARVs hazina faida yoyote zaidi ya hasara mwilini.Ni ukosefu wa uelewa wa sayansi ndio unatufanya tuwe malimbukeni bila kujijua.Fuatilia threads za hapo chini usome nilichoandika utanielewa namaanisha nini.
Wewe umeshajiuliza kwa nini hadi leo hujaambukizwa HIV?Najua ukienda kwa daktari lazima atakuwa na jibu hata kama ni la uongo.Tukio lako ni moja ya uthibitisho ya yale ninayojitahidi kuwaelimisha watu mara kwa mara lakini watu wanapuuzia kwa kuwa mimi sio Obama,sio Robert Gallo,Sio Antonio Faucci,Sio Luc Montagnier na wengine maarufu kama hao.
Umeshawahi kusikia mtu mmoja tu anakuwa sahihi ktk jambo fulani lakini wengine wote wamekosea?Nitakupa mfano mmoja tu;Zaidi ya karne 4 zimepita Galileo Galilei alisema kwamba dunia huzunguka jua,kitendo hicho kilimfanya kanisa limfunge.Lakini karne 4 zimepita leo hii ukweli uejulikana kwamba dunia kweli inazunguka jua.Miaka ya hivi karibuni Dr.Peter Duesberg amesema kwamba HIV is harmless passenger virus na hasababishi AIDS kama wengi wanavyojua bali AIDS husababishwa na sababu nyingine kabisa zikiwemo dawa za ARVs.Duesberg amepoteza grants nyingi sana Marekani kwa kusema hivyo,amepoteza hata uprofesa wake na fund nyingi sana na amezuiwa kufundisha wanafunzi,lakini hamna mtu yeyote ndani na nje ya Marekani mwenye uwezo wa kupinga hoja zake kisayansi.Muda utafika dunia itajua ukweli kuhusu hili lakini I am sorry kwa wale ambao watachelewa kufahamu ukweli huu.
Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola
Kwa mtu mwenye HIV, Ni dalili gani za kwanza humpata, na huonekana baada ya muda gani?
Dawa ya kuzuia maambukiizi ya UKIMWI na itumike muda gani kwa mtu aliyebakwa?
Usikimbilie kubisha,kama una hoja za kisayansi zenye uthibitisho wa kisayansi lete hapa tulinganishe halafu tuone hoja zipi zinaendana na mazingira kwa 100%.
"UONGO RASMI NDIO UONGO MKUBWA/MBAYA KULIKO WA AINA YOYOTE"
duh, the only conclusion i have drawn from this post is that you are a sick, pathetic,, deluded and psychotic s.o.b!!
hapo evidence based arguments kwenye post yako ziko wapi? kwa utafiti upi?
Heshima Kwako mkuu:
Mtu anatakiwa kupinga hoja kwa hoja si hoja kwa matusi; ndio ukomavu wa fikra. Kuhusu tafiti za sayansi na dawa , naweza kusema muamerika ana siri nyingi sana kuhusu tafiti na matumizi ya dawa. Ikumbukwe kuwa sekta ya madawa inaingiza US$300 billion kwa mwaka (WHO data 2015 ); Kiasi hiki ni sawa na fungu zima la welfare kwenye bajeti ya marekani mwaka 2014 ; welfara inayojumisha social protection, family issues, unemployment etc) imetengewa USD Bilion 300 na ushee. Sasa turudi nyuma, kwa inteligensia za wenzetu lazima wahakikishe revenue zinaendelea kwa kiasi kikubwa. Na madawa hasa ya magonjwa yaliyojengewa hofu ndio moja ya silaha zao. Kuna makala moja ilichapishwa na profesor wa Havard, Prof Bill George "Do drug companies make drugs or money" ndani ya hoja zake ni kuwa makampuni haya yamekengeuka katika tafiti za kutibu wanadamu na kuhakikisha kuwa dawa wanazotengeneza zinaleta utegemezi wa kudumu kwa watumiaji? Imagine madawa ya malaria yanavyobadilishwa? Je ni kweli Malaria Parasite "Plasmodium" ameevolve that fast na kila miaka miwili anajenga resistance? Sijui ; Ila ukikutana na mtu aliyegundulika kuwa na HIV virus akaishi kwa lishe bora na positive lifestyle vesrus anayetumia ARV utaniambia.
Kikubwa haya makampuni yana continuity strategy kupitia vyombo vya habari kuwa tafiti zimesema ARV ni proven etc --- ila the agenda ni "Depend and Buy this for the rest of your miserable life" --Wengi watabisha ila napenda kuwashauri kujisomea na kufanya judgement yao binafsi. Niliwahi kuishi Ujerumani kwa muda na kuna muafrika mwenzetu aliugua sana na baada ya kupima akagundulika ana virus vya HIV . Kwa kuwa pale kulikwa na teaching hospital basi walimuomba kuwa sehemu ya matibabu yake itatumika kama teaching. To cut the long story short, ni kuwa yule muafrika mwenzetu aliundergo a series of treatment (hasa kuwa exposed kwenye clean oxygen muda mwingi); na mmoja wa professor wa ile hosp alimwambia "dont worry , U will have HIV virus but u'll never be sick or suffer from it until you do , and I want u to stop those tablets--alikuwa na vi-ARV vyake from Afrika), Ninavyoandia hapa ni mwaka wa sita sasa yule ndugu alirudi kwao, hajawahi kutumia dawa tena na hajawahi kupata ugonjwa nyemelezi zaidi ya normal issues kama kichwa , etc ambavyo mimi na wewe tunapata. Nina mawasiliano naye ya karibu na yupo fit
The bottom line is wenzetu wanajua wanachokifanya , na pale walikuwa na agenda kwa wanafunzi wao wa pharmacy&Medicine juu ya matumuzi ya ARV luckily imekuwa to the advantage ya mwenzetu.
Haya makampuni yana ushawishi mkubwa kwa watunga sera na wakuu wa nchi sitachelea kuamini kuwa proposal za kubadili dawa zinakuwa influenced na hawa. Tafuta moja ya makala zilizoleak kwenye mtandao wa wikileaks "How Big pharma squeeze from dirt poor countries" humo anaeleza hata HIV drugs ni moja ya mbinu za kunyonya watu na kuhakikisha unakuwa tegemezi miaka yote. Kama unapenda kusoma zaidi nunua kitabu amazon "Deadly Medicines and Organized crime: How big pharma has corrupted health care" Nitanakili sentesi moja from that book "The main reason we take so many drugs is that drug companies don't sell drugs, they sell lies about drugs. This is what makes drugs so different from anything else in life...Virtually everything we know about drugs is what the companies have chosen to tell us and our doctors"
Ushauri wangu kwa mwenye mada mwenyewe ni apime uzito wa jambo, akae na mwenzake aelewe ni kwa nini mwenzie alificha ukweli (pengine ni hizi hizi threat za media na phobia ya HIV) , na apate ushauri kwa watu wenye busara anaowaamini na mwisho asikilize nafsi yake na kufanya maamuzi thabiti. Kukimbilia kuacha, kulaumu hakutamfanya afahamu sababu, Afanye hivyo baada ya kujua ukweli na si kukurupuka.
mkuu huyu jamaa alishawahi kurudia kuchek afya yake kama ndio majibu yakoje? pia swala la hizi kampun kupata faida kwenye Arvs mbona wanadai zinatolewa bure
acha woga wewe mbona mie nimeoa mwaka wa 8 mwanamke HIV+ tena tuna watoto wa2 na mie mzima tena nadunda. Acha UFALA NA WOGA.Pole sn mkuu,habar yako imenikumbusha kidonda nilichonacho toka tar 14/2 alfajiri kwan mke wangu alizidiwa na kumpeleka hosp kwa ajir ya kujifungua.dr hakuwepo but alipigiwa simu na nesi kuwa kuna emergence so aje haraka.DR ALIPOFIKA NA KUMUONA MAMA ANAYETAKIWA KUJIFUNGUA (MKE WANGU) AKAULIZA KM MUMEWE AMEKUJA NAYE NIKIWA MWENYE KUJIAMIN SN NIKAMJIBU NIPO HAPA.
YALIYOENDELEA HAPO MUNGU MWENYEWE NDIO ANAJUA.NI MTOTO WETU WA 2 NA WA KWANZA HANA MAAMBUKIZI NAMI SINA HAYO MAAMBUKIZI BUT YEYE AMEATHIRIKA.NASHUKURU MUNGU ALIJIEUNGUA SALAMA NA MTOTO ANATUMIA DAWA ZA KUMKINGA NA MAAMBUKIZ KUTOKA KWA MAMA KWA KUNYONYA.BAADA YA WIK 8 INABID HAACHISHWE KUNYONYA.
NILIMPELEKA KWAO ILI AJIFUNGULIE HUKO NAMI NILIKAA CK 5 BUT BAADA YA HIYO HALI NILIONDOKA SIKU HYO HYO ALIYOJIFUNGUA NA MWANANGU WA KWANZA.SIKUAGA MTU HADI MAMA MKWE CKUFANYA HVYO.SIMU NILIZMA KWA CK 3 NDIPO NILIPOWASHA NA KUMWAMBIA TUPO SALAMA NA HASIANGAIKE KUTUTAFUTA(MIMI&MTOTO).HADI HII LEO NI MWEZ SASA NA CK 4 NATESEKA KILA NINAPOMWANGALIA MTOTO NILIYENAYE
acha woga wewe mbona mie nimeoa mwaka wa 8 mwanamke hiv+ tena tuna watoto wa2 na mie mzima tena nadunda. Acha ufala na woga.