Mke wangu ana VVU

Mke wangu ana VVU

Pole sn mkuu,habar yako imenikumbusha kidonda nilichonacho toka tar 14/2 alfajiri kwan mke wangu alizidiwa na kumpeleka hosp kwa ajir ya kujifungua.dr hakuwepo but alipigiwa simu na nesi kuwa kuna emergence so aje haraka.DR ALIPOFIKA NA KUMUONA MAMA ANAYETAKIWA KUJIFUNGUA (MKE WANGU) AKAULIZA KM MUMEWE AMEKUJA NAYE NIKIWA MWENYE KUJIAMIN SN NIKAMJIBU NIPO HAPA.

YALIYOENDELEA HAPO MUNGU MWENYEWE NDIO ANAJUA.NI MTOTO WETU WA 2 NA WA KWANZA HANA MAAMBUKIZI NAMI SINA HAYO MAAMBUKIZI BUT YEYE AMEATHIRIKA.NASHUKURU MUNGU ALIJIEUNGUA SALAMA NA MTOTO ANATUMIA DAWA ZA KUMKINGA NA MAAMBUKIZ KUTOKA KWA MAMA KWA KUNYONYA.BAADA YA WIK 8 INABID HAACHISHWE KUNYONYA.

NILIMPELEKA KWAO ILI AJIFUNGULIE HUKO NAMI NILIKAA CK 5 BUT BAADA YA HIYO HALI NILIONDOKA SIKU HYO HYO ALIYOJIFUNGUA NA MWANANGU WA KWANZA.SIKUAGA MTU HADI MAMA MKWE CKUFANYA HVYO.SIMU NILIZMA KWA CK 3 NDIPO NILIPOWASHA NA KUMWAMBIA TUPO SALAMA NA HASIANGAIKE KUTUTAFUTA(MIMI&MTOTO).HADI HII LEO NI MWEZ SASA NA CK 4 NATESEKA KILA NINAPOMWANGALIA MTOTO NILIYENAYE
 
Ndugu nengunia
kuna mada humu ndani inazungumzia Uhusisno wa HIV na AIDS.
Kwa mujibu hiyo debate ni kuwa hakuna uhusiano wowote kati HIV na AIDS.

Ni kweli mke wako anaweza kuwa na Aids lakinni si kwasababu ya HIV.
Naomba u Google The AIDS Debate utapata maelezo ya kina yatakayo weza kuokoa familia yako.
 
wakuu nitakibu kesho asubuhi now yupo asione ni unyanyapas
 
mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana

Kama alikudanganya kwa hilo, basi kuna mengi unadanganywa.
 
Two years of marriage na wewe hauna?????????????? Inamana mlikua hamli lile tunda la mti wa katikati?????????? sema hapa kidogooo

Mkuu usishangae! Ndio maana Mungu anaitwa Mungu na sisi ni wanadamu. Hakuna gumu kwake yote yanawezekana.Hayo yaliwahi kutokea kwa ndugu yangu kaka wa damu.

Yeye aliishi na mdada miaka minne 4 na kilichotufanya tugundue dada huyo alidai ana mimba basi tukawa bz tunalea mimba bt mimba yenyewe ilisumbua sana alikua anaumwa mno basi ikabidi tumpeleke hosp jamani kumbe ile haikua mimba.

Basi katika kumpima kwa matibabu ikajulikana ni +ve stage ya mwisho ilituumiza sana maana hata huyo dada tulimpenda sana she was very sweet na mpaka leo tuna mmiss sana. May her soul rest in peace!

Mungu alivyo wa ajabu kaka yangu alipimwa ametoka very -ve. Na alipima kila baada ya miezi 3 kwa mwaka mzima. Kweli mwaka ule Mungu alitutendea Muujiza. Ashukuriwe Mungu.
 
Matumizi sahihi ya ARVs yanapunguza maambukizi kwa asilimia kubwa sana ndio maana anayetumia hizo dawa anaweza kujamiiana na mtu asiye na maambukizi bila huyo mtu kuathirika. Tiba na tafiti za VVU zimefika mbali sana sasa.

Tuwe tunajitahidi hata kwenda kwenye semina zinazohusu VVU, maofisini, kanisani, vyouni na kadhalika.

Nimegundua watu wengi hatuna elimu sahihi juu ya VVU ingawa tunafikiri tunajua. Kama ulienda semina miaka miwili iliyopita sasa kuna taarifa mpya nyingi sana hivyo ni vyema kupata elimu hiyo tena.

Tujitahidi pia kutembelea tovuti kama za UNAIDS na nyingine kama hizo
 
Endelea kumpenda mkeo.
Kwa sababu moja tu, kwamba hawezi kukuambukiza. Mara nyingi magonjwa ya kuambukiza kama virus vya ukimwi na kifua kikuu, mgonjwa akianza kutumia dawa basi vile vijidudu vinakuwa passive. Hiyo ndiyo sababu wewe mpaka leo uko safe.
 
pole sana ndugu yangu dah sina hata cha kuandika yaani nilivyoumia ila mungu amekuokoa
 
Kama hamjafanikiwa kupata mtoto ndg yangu bora ujiweke pembeni.Mie wapo wawili na nipo pembeni but nikifikiria changamoto ninazozipata kutoka kwa huyu mwanangu mkubwa na umri nilionao nachanganyikiwa kabisa.
UKILALA SAA 4 UCK UNASHTUKA SAA 7 UCK HAPO MPAKA SAA 10 ALFAJIR NDIPO UCNGZ UNAPATA TENA
 
Pole ndugu usiwe na wasi wapo wanandoa wengi wanaishi na kuzaa watoto na huku mme au mke ana vvu.Kama hajakuamvukiza muda wote huo basi ujue si rahisi kukuambukiza tena usihofu

Wewe ulipaswa kujiita BONGO-KUFA na wala si BONGOLALA
 
shungurui

Hiyo ni sawa na kusema uhusiano ulipo kati ya ukimwi na virusi vya ukimwi.HIV ni virusi vya ukimwi! na AIDS ni stage ambayo mtu mwwnye virusi ana ugua kabisa...kwa hiyo kuna uhusiano mkubwa kati ya Ukimwi na virusi vya ukimwi!

Nimegundua Asilimia 60 ya member wa jukwaa hili hawana elimu juu ya ukimwi na virusi vya ukimwi ndio maana mna danganyana! Halafu kinacho ni shangaza majarida na vitabu vimejaa kila.
 
Last edited by a moderator:
mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana

Mbane akueleze jina la hospitali na dakari..huyo Dr anapaswa anyang'anywe leseni na kushtakiwa kwa attempt murder na hiyo hospital inapaswa ikulipe mpunga mrefu sana
 
Back
Top Bottom