Mke wangu ana VVU

Mke wangu ana VVU

'parapanda italia parapanda...parapanda italia parapanda...hiyo parapanda.....'
Ndugu angalia usije imbiwa huo wimbo aisee! Huyo hakupendi kama angekupenda angekulinda. Angekwambia ukweli kabla hamjaoana.

Ila Mungu ni mwema...amekulinda kwa muda wote huo. Sasa vile umejua basi huenda ulinzi wa Mungu kwako ukakoma maana sasa Mungu atakuacha uamue mwenyewe...kujiponya au kufa!

Unaweza kujilala kitandani ukazinduka kumbe umemlalia nyoka. Ni Mungu amekuponya! Sasa ukiamua kuendelea kulala na nyoka wakati tayari umemuona eti Mungu ataendelea kukulinda...pole,...utakuwa unamjaribu Mungu!


Du we ni noma aisee
 
story kama hizi uwe unatupia na picha bac ya vyeti kujaribu kutuconvice... Yani uone mke wako mwaka mzima unaisha anatumia ARV afu wewe umetoka mzima??? Bac tunakuhitaji kama kama laboratory specimen yaweza kua wewe ndo tiba ya ngoma tuliyokua tunaisubiri
"hata leo nimepima"!! hii sentensi inafanya thread yako yote kua invalid
 
Amekudanganya huyu kwamba hakuwa muathirika. Mie kwa maoni yangu katika hali kama hii wewe una kila haki ya kuvunja ndoa na kuanza utaratibu wa kutafuta mke mwingine kama bado una nia ya kuendelea kuwemo katika maisha ya ndoa. Kuishi katika ndoa ambayo unamuogopa mwenzio kwa namna moja au nyingine haihusu kitu. Kila la heri katika maamuzi yako.

kwakweli kikubwa kabla sijaoa nilikuwa naamini ndoa ya mke mmoja..sasa hali ya ndoa imenichanganya mno. ndoa za kikristu sijui kama jambo hili watakubali tuachane..kama yupo pastor au padri humu anieleweshe tafadhali. Kingine mwenyewe anafikiri kuwa siwezi kupata ugonjwa kabisa jambo ambalo si kweli hata madaktari hawaniakikishii hilo. na pia ushauri wa daktari kuwa nimlainishe sana ni jambo ambalo pia sio la asilimia mia kukwepa tatizo nina hali ngumu wandugu.
 
Huyo ni.muuaji na ht kidini sidhani km inaruhusiwa...amekubali kuolewa ilhali akijijua ni mgonjwa.ni bora angeupata mshafunga ndoa..nenda kwa viongozi wa dini wakupe ushauri fasaha...na kwa hapo nadhani talaka yaweza tolewa...sio vzr ni uuaji huu

Harsh kuishi kabisa....
 
Nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013.

Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo nimepima. Yeye ananipenda ila nimeingia hofu naogopa mno hata kumgusa.

Nifanyeje wakuu?

Mkuu kwanza pole sana, pia tambua wako wengi kwenye majanga kama yako. Humu watu watakuchanganya tu ndugu yangu. Wewe ndiye mwenye maamuzi sahihi ya kuchukua kwa jinsi unavyoichukulia hali kwa sasa, pili ni kwa jinsi gani hii hali itakavyoathiri mipango yako yoke uliyokuwa ukiipanga kabla ya kufunga ndoa,

Watu watakuja wengine wakisema ondoka wengine watasema baki naye tu. Lakini kumbuka ni wewe ndiye unaijua hali ndani ya moyo na akili yako jinsi ilivyo. Kuna mambo mengi sana ya kuyaangalia kabla ya kupata huu ushauri kutoka kwa watu.

All in all kaka wewe ndiye mwenye maamuzi ya mwisho, hii sijui ndoa ya kanisani au sijui ananipenda, sijui naogopa kumgusa. Fata moyo wako jinsi unavyokutuma as long as your happy to youself.It's well and good.
 
story kama hizi uwe unatupia na picha bac ya vyeti kujaribu kutuconvice... Yani uone mke wako mwaka mzima unaisha anatumia ARV afu wewe umetoka mzima??? Bac tunakuhitaji kama kama laboratory specimen yaweza kua wewe ndo tiba ya ngoma tuliyokua tunaisubiri
"hata leo nimepima"!! hii sentensi inafanya thread yako yote kua invalid

nina uhakika ndugu yangu hiyo ilikuwa jana tena nilifsbya HIV screening hospitali mbili tofauti tens za prsivate
 
Mleta mada amesema kwamba, ameoa mwezi wa kwanza mwaka 2013, aligundua kuwa mkewe anatumia ARV's mwezi wa tatu mwaka huo huo, yaani miezi miwili baada ya ndoa.
Mkewe akakili kuwa ni kweli ni muathirika tena kabla hajaolewa, daktari alichezea vipimo.
Mahesabu mengine mwenyezi mungu anajua!!!
 
Kwaiyo kuanzia mwaka 2013 nyie mnatumia protection tuu?
Kama ni hivyo ata mtoto mmoja hamjapata.sio?

Watu wengine wana bahati tu, inatokea anweza akasex na mwanamke mwenye maambukizi, mara nyingi tu lakini yeye asiambukizwe. Wataalamu wanasema kama partners wanaandaana na wanafanya kwa starehe basi si rahisi kuambukizana kwa sababu kwa mwanamke kunakuwa mtelezo.
 
Nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013.

Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo nimepima. Yeye ananipenda ila nimeingia hofu naogopa mno hata kumgusa.

Nifanyeje wakuu?

Sikiliza nafsi yako. Kuwa makini.
 
Jamani.sasa huyo mwamke muaji kaka.kafungue kesi mahakamani na hao madokta feki wakomeshwe huo ni uuwaji kabisa.sasa kwakua umeshajua ukimgegeda umekufa.mungu alikulinda na malaika wake kwakua haukujua jaribu.uende m9chwali
 
Mungu kashajito ktk hilo sasa kula mzigo.uone mochwali fasta
 
nimejaribu kukaa kwenye nafasi yako lkn maumivu na hofu niliyonayo nisingeweza kukaa nae hata siku 2 mbele baada ya kuugundua
 
Pole ndugu usiwe na wasi wapo wanandoa wengi wanaishi na kuzaa watoto na huku mme au mke ana vvu.Kama hajakuamvukiza muda wote huo basi ujue si rahisi kukuambukiza tena usihofu

kama we hujaathirika mi nadhani ungebwaga manyanga. risk zinazoweza kuepukika tuziepuke tusizojua itakuwa ajali na bahati mbaya.
 
Life is too short don't morgage brother. kama afya yako iko imara muache .
 
Nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013.

Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo nimepima. Yeye ananipenda ila nimeingia hofu naogopa mno hata kumgusa.

Nifanyeje wakuu?

pole sn bro pia usipaniki hilo tatzo linawakuta weng sema ni mambo ya siri ndio mana hayasikiki kiukwel hakuna mtaalam atakaye kushaur umuache au uendelee ni uamuzi wako.binafsi nakubaliana nawe mnaweza share penzi kwa muda bila kuambukzwa inategemea unavyo muandaa kabla ya tendo pia zpo njia salama za kuishi kikubwa nae awe tayari kukulinda. tembelea vituo vya afya kwa ushaur zaidi au piga 117 namba ya ushaur bure
 
Back
Top Bottom