Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,519
- 32,675
VVU-ni fake
Nimejiweka nafasi ya mwanamkeKwahiyo dume zima unarudi kwenu kwenye ugali wa filimbi kwa wazazi? Au umejiweka nafasi ya mwanamke?
Hapo ndipo kile kiapo cha
"Kwa shida na raha" kinapoonekana....
MmmmhHapo ndipo kile kiapo cha
"Kwa shida na raha" kinapoonekana....
Case kama hizo zipo nyingi sana! Na wenye bahati hiyo wengi ni wenye group la damu O negative. Kamwe hawezi pata kama ameishi naye kw muda wote huo na hakuna kinga iliyotumika!! Ushahidi huo mimi ninao kuna ndugu yangu wanaishi na mkewe mwaka wa 15!!sasa wakati mrs. Ni muathirika yeye hana. Ni wenye bahati zaoUna bahati sana kaka, miaka yote hii hujaukwaa? Kama member mmoja kauliza hapo juu, hamjazaa? Je kama mmezaa mtoto mzima?
hi naijua hii uyo jamaa alimaliza digrii ya uhasibu TIA...Pole sana Ndugu,nakumbuka story ya mtu mmoja ivo ivo Njia panda Clous radio Ilikuwa january siku ya j2..sikimbuki tarehe2015..kuna mtu alishudia kuwa mke wake aligundulika kuwa na VVU na mume hana.
Lakini mke wake alijua sana ni +ve akijua ili hali hakumjulisha mumewe..na siku ya kupima alijua kabisa majibu yake yatakuwaje bt hakuwa amemuambia mumewe akihofia mumewe angemuacha... ilikuwa story ndefu sana ya kusisimua.
Nakumbuka watu wengi pia walituma sms kushuhudia ndugu zao na rafik zao wa karibu ambao wana hali kama uliosema...Hizo ni hali za na zipo na siyo wa kwanza wewe...Cha msingi hapo ni imani ya kimungu zaid inatakiwa na siyo za kibinadamu...mungu akufanyie wepesi kwa kweli...!