Mke wangu ana VVU

Mke wangu ana VVU

hvyo my lawyer wale wanaojamiiana na wenye vvu inakuaje sasa?
mi nlikua my friend alikua anadate na mwenye vvu mpk wakapata hadi mtoto
mdada kaja kujua km yuko na vvu mtoto ana 3yrs
akaenda kupima yeye na mtotl wake wote hawana
yule baba ndo akakiri kua ni victim na mkewe ni marehemu

Kwa sababu mbengu hazibebi..virusi vya ukimwi kuna uwezekano mtoto kuzaliwa bila virusi na hata kama mama na baba wangekuwa navyo mtoto anaweza kuzaliwa mzima!

Baba kuwa na virusi na Mama kukosa au Mama kuwa na virusi na Baba kukosa hii inatokea kabisa na nina ushuhuda kabisa lakini haina uhusiano na kutotokea kwa michubuko..au idadi ya bao! Kuna Baba fulani nilikuta nae sehemu yeye alipata virusi toka mwaka 90 lakini mkewe hadi leo hana virusi..hii utokea lakini ni nadra maana wanasema kuna watu hawana CD4cells ambazo ndio chakula cha virus hivyo virusi haviwezi kusurvive ..
 
Kwa sababu mbengu hazibebi..virusi vya ukimwi kuna uwezekano mtoto kuzaliwa bila virusi na hata kama mama na baba wangekuwa navyo mtoto anaweza kuzaliwa mzima!

Baba kuwa na virusi na Mama kukosa au Mama kuwa na virusi na Baba kukosa hii inatokea kabisa na nina ushuhuda kabisa lakini haina uhusiano na kutotokea kwa michubuko..au idadi ya bao! Kuna Baba fulani nilikuta nae sehemu yeye alipata virusi toka mwaka 90 lakini mkewe hadi leo hana virusi..hii utokea lakini ni nadra maana wanasema kuna watu hawana CD4cells ambazo ndio chakula cha virus hivyo virusi haviwezi kusurvive ..
nimekuelewa
 
Si kweli ! Yani uhitaji michubuko ili upate virusi vya ukimwi! Kitendo cha mwanaume kuingiza uume kwenye uke kinatosha kusababisha maambukizi!

Unatakiwa kujua maji maji yanayo beba virusi vya ukimwi kwanza.

-Ute wa uume
-Damu
-majimaji ya uke
-Shahawa
-Maziwa ya mama

Hivyo huitaji bao mbili au michubuko kupata virusi!

Kwenye shahawa si kweli. Ndio mana baba na mama waweza kuwa waathirika lakini mtoto akatoka mzima
 
Kwenye shahawa si kweli. Ndio mana baba na mama waweza kuwa waathirika lakini mtoto akatoka mzima

Tofautisha kati ya shahawa na mbegu..shahawa zinatumika kusafirisha mbegu hadi eneo usika....Mbegu hazibebi virusi bali shahawa ndio zina beba virusi! Mtoto anazaliwa bila virusi kwa kuwa mbegu hazibebi Tafuta taarifa sahihi..
 
Kaka wakristo hawaachani ndy bible hyo kwa jina la yesu, kwa jina la yesu ww kula mzigo hutopata vvu nimeshakuombea tayar.
 
kuna uwezekano alipata maambukiz akiwa ndani ya ndoa. kama anauwezo wakuficha jambo hilo kuna uwezekano mkubwa alizini akiwa ndani ya ndoa

Mleta mada amesema kwamba, ameoa mwezi wa kwanza mwaka 2013, aligundua kuwa mkewe anatumia ARV's mwezi wa tatu mwaka huo huo, yaani miezi miwili baada ya ndoa.
Mkewe akakili kuwa ni kweli ni muathirika tena kabla hajaolewa, daktari alichezea vipimo.
 
Nimekumbuka kitu,katika story story na marafiki tumewah kuongelea kitu kama hiki...
Mtu anaweza kujamiiana na mtu mwenye HIV na asiupate huo ukimwi.
Watu wa namna hiyo wanaitwa carriers(not sure of the spelling).mnakua na vijidudu ila havionyeshi.ILA VIPO.its like they are invisible but they exist in your blood.

Mtu asiye na ukimwi (Hiv neg) inawezekana ikatokea kujamiiana (mfano kwa wale ambao hawana taarifa za wenza wao) na mtu mwenye aliyeathirika na vidudu vya ukimwi na ikatokea kwa bahati njema asiwe ameathirika (infected). Na sababu ya kisayansi ni moja tu, kuwa (ama chembe chembe zake damu) au 'cells' za ambaye hana hazikuathirika.

Neno "Carriers' linamaanisha watu ambao ni tayari ni waathirika lakini 'vidudu' vile haviwaletei madhara miliini mwao wenyewe. Yaani wakati mwingine mtu ameishi na virusi vya ukimwi miaka 10-20 na hatumii dawa na wakati huo huo watu wanao tembea nae huadhirika ' infected' na hata kufariki mara moja. Na "Carriers' au wathirika wa aina hiyo wapo wengi kwenye jamii.

Mwisho ni kuwa unapopimwa ukimwi ni kwamba ama uko positive (+) ama negative (-) na sio suala la kuwa ati mtu anatembea nao na kuwa ai utakuja kulipuka miaka ya baadae. Virus vya ukimwi ni kama vya magonjwa yetote mengine mfano Ebola ni 'incubation period' ni siku 21 (unakuwa under quarantine). Kwa virusi vya ukimwi vinaweza kuchukua wiki 2 mpaka miezi 6 kutegemeana na afya (siha) ya mtu ili kuweza kuwa kwenye uhakika zaidi. Na hapo ni toka ulipofanya ngono ya mwisho na muathirika ambayo haikuwa ngono salama.

Haya na tuendelee kuelimisha bila ya kutiana hofu.
 
mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana

Aise! Mbona hii ngumu sana. Umeamuaje sasa? Mna watoto?
 
Dah! Pole sana Mkuu, ndoa yenu ndio ina miaka miwili na miezi mitatu sijui kama utaweza kuvumilia kuendelea kuwemo ndani ya ndoa kwa miaka mingi ijayo hasa ukitilia maanani kwamba unaogopa kumgusa mkeo na wengi wangekuwa katika nafasi yako wangeogopa kumgusa. Mie ushauri wangu ni wewe kuamua kama unataka kuendelea na ndoa yenu ama kuivunja na labda kutafuta mke mwingine labda na ndugu wa karibu wanaweza kukusaidia kuhusu uamuzi muafaka wa kuchukua.

mimi napenda sana kuangalia taarifa ya habari usiku sasa muda huo huutumia kwenda kumeza dawa toka 2013..na kanipa maelezo ya kutosheleza bila kudanganya kuwa toka namuoa ana vvu na madokta aliwapanga waseme hana
 
mate ya muathirika yanaweza kusababisha maambukizi? mfano denda na kunyonya maiki?
 
Huyo anakupenda kwa sababu ya tatizo lake na kama kweli anakupenda kwanini asikuambie toka awali
 
tulipanga apate mimba baada ya miaka miwili na ndio muda ulikuwa umefika..ni jambo la kushangaza kwani alikuwa anapata homa kama mara mbili ishatokea mimi nikawa nadhani ni kawaida vikatoka vipele vya homa mimi nakiss kama kawaida..na pia kusex ilikuwa ni karibu kila siku na michubuko hadi mimi naioana ila cha kushangaza sijapata ugonjwa..
 
kaniambia alipopatia ugonjwa ni kwa boyfriend wake wa zamani kabla yangu..na kinachoniumuza sana mke wangu hakuniambia miaka yote miwili kuwa anatumia dawa na ameathirika hapo ndio napaona penye kosa..uchumba tulikaa mwaka mzima na ana tabia nzuri tu na hakuniambia chochote ila ugonjwa alipata kabla ya mimi kumuoa.
 
Back
Top Bottom