Mke wangu ana VVU

Mke wangu ana VVU

ushauri wa dactari ni muhimu kwako, endapo atakueleza kua huwezi kupata vvu lazima akufafanulie na ufahamu, pole sana
 
kirue

Huyu jamaa tena kazaa na mke wake watoto wawilii na mpk ss wanaishi kwa aman
 
Last edited by a moderator:
nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta...mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013. nimepima mara nyingi sina virusi hata leo nimepima. yeye ananipenda ila nimeingia hofu naogopa nmo hata kumgusa. nifanyeje?

Mkuu nengunia ulimuoa january 2013 ukagundua anatumia arvs tokea April 2013 plis ungekuwa muathirika Lkn shukuru Mungu upo salama so kuwa na Amani endelea kumpenda mkeo
 
Last edited by a moderator:
Mh jamani sas mlikua mna do aje auna kinga kwamiaka yote hiyo mh
 
Mbona ngumu kumeza? Tangu 2013 sasa kinakuweka nini? Au hekma...
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1426786866.178294.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1426786866.178294.jpg
    33.6 KB · Views: 915
Nimekumbuka kitu,katika story story na marafiki tumewah kuongelea kitu kama hiki...
Mtu anaweza kujamiiana na mtu mwenye HIV na asiupate huo ukimwi.
Watu wa namna hiyo wanaitwa carriers(not sure of the spelling).mnakua na vijidudu ila havionyeshi.ILA VIPO.its like they are invisible but they exist in your blood.
 
hatujazaa bado ndio mipango ilianza kuzaa hivi karibuni akajua nitagundua nikimsindikiza clinic
 
Nimekumbuka kitu,katika story story na marafiki tumewah kuongelea kitu kama hiki...
Mtu anaweza kujamiiana na mtu mwenye hiv na asiupate huo ukimwi.
Watu wa namna hiyo wanaitwa carriers(not sure of the spelling).mnakua na vijidudu ila havionyeshi.ILA VIPO.its like they are invisible but they exist in your blood.
ninachojua mm MTU akitumia arvs si rahis kuambukiza ilimradi msichubuane tu
 
Two years of marriage na wewe hauna?????????????? Inamana mlikua hamli lile tunda la mti wa katikati?????????? sema hapa kidogooo
 
nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta...mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013. nimepima mara nyingi sina virusi hata leo nimepima. yeye ananipenda ila nimeingia hofu naogopa nmo hata kumgusa. nifanyeje?

Mkuu naomba uniambie blood group yako ni ipi?!
 
Back
Top Bottom