Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Kuna blood group haipati VVU?
Ipi hiyo na kwa nini?
duu nomeshangaa sana.
Kuna blood group haipati VVU?
Ipi hiyo na kwa nini?
Kuna uhusiano gn kt ya blood group, rhesus factor na maambukizi ya Vvu? Naomba kueleweshwa.
Ni nini hapa unazungumzia???
Labda wengine wamekuelewa.
Umesha sema ana wana vijidudu halafu papo hapo unasema havionekani...sasa hebu jiulize umejuaje ana virusi.
Hapo kwenye red jiulize anakuwa amebeba nini? Hizo ni story za vijiweni!
Huyo mtu anakuwa na virusi sema kinga zake za mwili zinakuwa na nguvu na anakuwa anatumia ARVs na anapokutana na mtu amabye hana virusi ni rahisi mtu huyo kuugua mapema na kufa maana virusi vinatabia ya kubadilika vinapo kutana na mtu anaye tumia ARVs na vina vaa sura ya kupambana na ARVs sasa vikikutana na mtu ambaye hatumii na hana maambukizi na kwakuwa vinakuwa vimekomaa ni rahisi mtu huyo kuugua na kufa mapema kama kinga yake haiko imara! Sasa ndio hapo hayo majina ya carriers yalizuka kuonesha kuna watu wana virusi lakini wana survive na wanao tembea nao wana kwenda na maji!
Kwa case ya mume kukosa virusi na mke anavyo inatokea kabisa ..pengine kuna watu hawana CD4cells..maana virusi haviwezi kukaa sehemu ambapo hakuna CD4cells ambazo ndizo chakula chao n ni ngumu kuwa gundua watu wa namna hii!
Tatizo letu tumeweka pesa mbele.
Kuna mradi tulifanyia survey kwa ajili ya kutoa elimu kwa jamii.
Kwenye kuhamasisha watu ili kupata elimu wanajitokeza wengi.
Wakija tu wakikuta patupu hakuna posho wanaponda sana na kuwakatisha tamaa wengine.
Kazi ipo.
Kuna blood group haipati VVU?
Ipi hiyo na kwa nini?
Nenda kwenye website ya google halafu tafuta The AIDS Debate uta pata maelezo kamili.
Blood group O kinga ipo juu inatapa vvu ndio ila vinakuwa hafifu mwilini
possible hasa wale bao moja tu
na km huna michubuko
Si kweli kabisa! Hakuna uhusiano kabisa kati ya blood group na Maambukizi lasivyo yangekuwa kwa kiwango kidogo sana duniani!
Hakuna blood group ambayo hiko safe kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi! Usidanganyike tafuta taarifa sahihi!
Si kweli katafute taarifa sahihi! Kumbuka hapa tunaongelea virusi vya UKIMWI!Blood GRP O ipo safe kiasi mkuu coz si rahisi kuambukizwa na MTU ambae hawalingani antigens Fanya research utanipa jibu ABO ANTIGEN FACTOR
Si kweli katafute taarifa sahihi! Kumbuka hapa tunaongelea virusi vya UKIMWI!
Mkuu nina kuhakishia unacho sema si kweli na sihitaji kufanya research kwenye hili! Tafuta popote walio andika hayo ulete hapa!
Si kweli ! Yani uhitaji michubuko ili upate virusi vya ukimwi! Kitendo cha mwanaume kuingiza uume kwenye uke kinatosha kusababisha maambukizi!
Unatakiwa kujua maji maji yanayo beba virusi vya ukimwi kwanza.
-Ute wa uume
-Damu
-majimaji ya uke
-Shahawa
-Maziwa ya mama
Hivyo huitaji bao mbili au michubuko kupata virusi!
Endelea kubisha nimekupa hint uliza daktari wako atakueleza
Google Why is it not easy for a blood group O person to be infected by a blood GRP A or AB person