Mke wangu amekutwa HIV+

Nyuzi kama hizi wale wa kula tunda kimasihara huwa hawazifungui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
kwa niaba yao nasema ukimwi haupo [emoji23][emoji23], made up stories tu.
 
Ulifanya kosa kubwa sana kutokumtombra kwa kipindi chote hicho pole sana.kama unampenda utashea nae vidonge akiend Kuchua akuchukulie na wewe, ukimtreat vibaya atajiua so kaa nae vizur
 
Sijaelewa vizuri.... Hapa mwisho umemalizia kuwa mlinunua vipimo pharmacy mkapima na wote mkawa negative?? Sijaelewa vizuri hapo....
 
Kama haja chepuka basi atakuwa kazaliwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu niambie wewe unakula kwa stail gani kuepuka huu ugonjwa[emoji23]
 
Nyie si ndo mnasemaga walimu na manesi ndo wife material? Imekuaje tena?
Hakuna kitu Walimu ni wahoovyo sana tena ni wahuni kuliko hata hao dada wa kona bar. Siku hizi wameibuka na wazimu wa kumiliki motokaa ni shida. Yaani ukipiga tafiti ndogo tu wengi sana ni single mama.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Natulia

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Uzi fikirishi sana huu na stajabishi
Pole Sana kwa mkasa mkuuu muombe sana Mungu
 
Ndugu unazifahamu stages za kuconfirm diagnosis ya HIV. Mpaka kashaanzishiwa ARV uje ni HIV. Diagnosis ya HIV sio a single test.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…