Mke wangu amekutwa HIV+

Mke wangu amekutwa HIV+

Kuna rafiki yangu alikuwa anamchumbia binti ikafika mda wa harusi ,Kama kawaida kuna baadhi ya makanisa huwezi kufunga bila vipimo,jamaa akaonekana ameathirika,akaachwa na mwanamke hapo hapo ,jamaa kidogo afe kwa mawazo ,baada ya Kama miezi 6 akapima tena ikaonekana hajaathirika ,akafululiza kupima kila baada ya miezi 3 jamaa bado anaonekana si mwathirika .
Sasa huu si ungese jamani
 
Cha kushangaza baada ya Kama miezi 6 msichana akaolewa na jamaa mwingine ,hiyo kidogo ilitushtua kwamba imekwaje gafla hivo ,inawezekana maruweruwe au daktari katoa vipimo feki
Huyo jamaa alichezewa hospitalin
 
Ni mkeo au mwanamke unaishi naye tu akasema ana Mimba? Mimba ni yako au ilimpendeza wewe kuwa baba? Nakuuliza kwa sababu anaonekana kuwa mwanamke mjanja mjanja, anajua hadi kunywa ARV bila stress.
Ahaaaahaaahaaa

Mkuu nimecheka sana
 
Huo ukimwi hata nashindwa kumuelewa jamaa angu alikuanaendelea na kabint ambacho kalizaliwa na hiv na jamaa alikuwa ameoa uwez amini hata ajamuambukiza mke na yey mwenyewe Hana na hapendi kutumia kondom ajabu Sana anasema jitaidi kusitokee michubuko tu Ila ukimw kuukwaa Ni vigumu sana
To sodomize ndo msala upo hapo...huchukui round bacteria hawa hapa
 
We ndiyo unajiabisha? Unamjua?
😆😆 Nashangaa ingekuwa katoa story kwa jamaa wa mtaani sawa ingekuwa boko, but humu hatujuani na hizi ID zetu feki zinatupa uhuru kushare matatizo yetu ambayo tunashindwa kuwaambia watu wetu wa karibu
 
Nyie mnaobeza upimaji wa ukimwi wa kibongo niwaambie tu National HIV alogarithm haihusishi izo SD bioline rapid test kuconfirm HIV mpaka uanzshwe kwenye ART ni vipimo vinafanyika kwa umakini
 
Brother hio unaweza ikawa rafu kakuchezea kama kweli ulimuambukiza kama anavyo dai sidhani kama angekaa kukalia kimya.

Lkn Endelea kuchunguza kuchunguza bro labda anachisema ni kweli ,mbane kweli kweli
 
To sodomize ndo msala upo hapo...huchukui round bacteria hawa hapa
Usijidanganye ukahatarisha afya yako, mwanaume ndio ana risk ndogo ya kuambukizwa ukimwi na mwanamke.

Mwanaume anaweza kusex kavu kavu na mwanamke mwenye ukimwi lakini asiambukizwe, ila mwanamke ukikojolewa na mwanaume mwenye ukimwi imoo hiyo unao. Kuna kesi chache za aina ya damu za baadhi ya binadamu damu zao hawawezi kupata maambukizi kwa namna yoyote, ndio zinatokeaga hizo kesi unaambiwa mume anao mke hana jamii inabaki imeduwaa, hapo ni issue ya damu, na watu wenye damu hiyo wengi wapo Gambia.
Delta 24.
 
Ndoa kama NDOA.

Mmmh ndoa NGUMU nyie.

Nikiwaambia msioe utasikia ""UNA MATATIZO YA SAIKOLOJIA""

Mmmh haya bana ENDELEENI TU KULA MIJEREDI.

MUNGU awaongoze...

#YNWA
Ficha upumbavu wako, maradhi hayatokani na ndoa, bali ngono zembe.

Hata kama hujaowa wala kuolewa ukishiriki ngono zembe upo kwenye risk ya kupata maambukizi, cha kusikitisha sana wadada wengi hawapendi condom wanasema zinawachubuwa.

First world countries ukimwi wameudhibiti, tujifunze kwao wamewezaje?
 
Tatizo ni ngono zembe vijana hawajali kabisa halafu wapo aged 18/22,july nilisafiri mkoani huko usiku mmoja wakati narudi home nipo na dogo wangu tukasikia (palikuwa na kama kibonde) watu wanabishana “oya zamu yangu zamu yangu” nikamuuliza dogo siku hizi bangi huku vijijini mnavuta usiku mmejificha vichakani?akaniambia hao hawavuti bangi ni vijana wa bodaboda wanashirikiana kwenye ngono.

Na hiyo michezo ya kishenzi wanafanya na ma-bar maid wanaotoka mikoa mingine so kama wakaja na maradhi mabaya unaweza kuona jinsi numbers zitakavyosoma hapo.
Mkuu ni kijiji gani huko nahitaji kufanya utalii wa ndani.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sio rahisi kukubali kua alichepuka mkuu. Ni ukweli isiopingika kua alichepuka mkuu, na ndo kama ivo wewe ni mtu wa safari safari.

Hilo la kusema alikuchukia eti kwa kuhisi wewe ndie umemuambukiza si kweli mkuu, kama ingekua hivo basi angekuuliza tu, na wala asingejificha wakati anajua wote mko sawa.

Pole sana ndgu, ndoa ngumu sana aisee. Malalamiko ni mengi kuliko furaha na hasa wale waaminifu ndo wanaumizwa zaidi.
 
Back
Top Bottom