Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,645
- 7,122
Kuna uwezekana yupo bado Negative- Uenda wakati anapima matokeo yake yakaja kama false POSITIVe .Umesema kuwa ulimpima tena ukamkuta ana hapa 1. Vira load ipo chini sana Kwa Hiv antbodies kuwa detected. 2. Ana na ajawai kuwa na HIV infections ila wakati anapima matokea yakaja false POSITIVE..Itabidi uende hospital kubwa zenye mitambo ambayo inaona Virus wenyewe na sio hivi vidude vinavyodetect just antibodies za HIVPamoja na ubize wangu wote,,kitu cha kwanza kuangalia ilikuwa ni card yake ya kliniki baada ya kuwa mjamzito na wala haina shida


