Aaah inspekta atoswe baharini huko kilindini anaibukaUumezidiwa akili na mwanamke yakupasa ufungwe jiwe la kusagia utoswe kilindini
Basi tuu...Sasa anapata faida gn? .....
Ame hack kwani kuna baadhi za msg na voice call ana nitumia.. kama justification kwamba ananinykaHakuna haka wa namna hy bongo unless kuwe na app imekua installed bila wewe kujua ila nachohisi mimi kahack akili yako mkuu na umeingia kwenye mtego mazima tuliza akili tu kamanda
Okay,,, safari njema😃😃Nipo bhana, karibu nahamia Burundi mn Goli langu la kuban CD wamelichoma jana
Ahaaaa kuuumbeeeOkay,,, safari njema😃😃
Ame hack kwani kuna baadhi za msg na voice call ana nitumia.. kama justification kwamba ananinyka
Basi tuu...
Ana ongeza uaminifu kwako mkuu...
Sioni kama ni kosa

yaani hujui tu huwa vina nikera balaaa aisee kwamana hata ni inshu tu Za deal za hapa na pale umepiga ..ukapata maokoto kidogo ...anakuchomekea hebu nitumie ten ukimwambia ramani hazisomi anatuma transcation za Mpesa au tigo pesa ulizofanya ....na kiasi kbs ...sasa hapo ona sasaDaah hapo anazingua sasa..yaani hujui tu huwa vina nikera balaaa aisee kwamana hata ni inshu tu Za deal za hapa na pale umepiga ..ukapata maokoto kidogo ...anakuchomekea hebu nitumie ten ukimwambia ramani hazisomi anatuma transcation za Mpesa au tigo pesa ulizofanya ....na kiasi kbs ...sasa hapo ona sasa
kumbe nini tena jamani😃😃🤔Ahaaaa kuuumbeee
Unatumia simu ya aina gani mkuuNakwambia ni inshu....yaani sina raha mimi....hata kidogo
Eti hii nayo ni SILEDIMke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalofanya anajua nifanyeje?
Mapenzi yamepungua kutokana na yeye kudai kwamba nina mawasiliano na mademu wengi...