Mke wangu ame hack simu yangu

senkoP

Senior Member
Aug 28, 2017
161
174
Mke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalofanya anajua nifanyeje?

Mapenzi yamepungua kutokana na yeye kudai kwamba nina mawasiliano na mademu wengi.

Sasa nashindwa la kufanya ...yeye chakushangaza hajawahi kushika simu yangu na hatuishi pmj kwa sasa kwa sababu za kikazi lkn kila kinachofanyika kwenye simu ana sema anajua na nimekuja kuona kwamba ni kweli anajua.

Sasa sijui dhumuni lake ninini?
 
Mke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalo fanya anajua nifanyeje?
Mapenzi yamepungua kutokana na yeye kudai kwamba nina mawasiliano na mademu wengi...
Sasa nashindwa la kufanya ...yeye chakushangaza hajawahi kushika simu yangu na hatuishi pmj kwa sasa kwa sababu za kikazi lkn kila kinachofanyika kwenye simu ana sema anajua na nimekuja kuona kwamba ni kweli anajua....sasa sijui dhumuni lake ninini?
Hiyo ni dalili mbaya kuna uwezekano mkubwa anakucheat hivyo anadhani na wewe unafanya hivyo,mfuatilie na yeye alafu ulete mrejeaho
 
1695664417698.jpg
kuwa serious Babu
 
Back
Top Bottom