Mke wangu ame hack simu yangu

Mke wangu ame hack simu yangu

Mwanaume kulia Lia kisa mwanamke kafanya hiki mara vilee aiseé n ufalaa...


Badili gia anganii mkuu..
 
hakikisha umeandika wosia na kukabidhi kwa mwanasheria hii ikiwa umezigawa mali zako kwa usawa
 
Hiyo ni dalili mbaya kuna uwezekano mkubwa anakucheat hivyo anadhani na wewe unafanya hivyo,mfuatilie na yeye alafu ulete mrejeaho
Ivi Application nzuri ya kuhack ni ipi na mimi ni mhack
 
Samahani, ame hack simu yako au ameitrack no yako ya simu?
Kama ame hack simu yako unaweza ukaiflash tu ila kama ameitrack no yako ni kipengele
 
Back
Top Bottom