Mke wangu ame hack simu yangu

Mke wangu ame hack simu yangu

Mke wangu ame hack simu yangu kila jambo ninalofanya anajua nifanyeje?

Mapenzi yamepungua kutokana na yeye kudai kwamba nina mawasiliano na mademu wengi...
Nunua simu ndogo uwe unaacha ofisini, au kama ulikuwa naye dem mmoja tafuta wengine 7 na wa uingo humohumo, ataacha mwenyewe
 
Mimi nilikuwa na mchumba mkoa wa mbali na ninapoishi, kilichotokea demu akawa ananipa stori za kujua kila ninachofanya, na kweli unakuta nina appointment na demu mwingine then huyo mchumba ananipigia na kuniambia nisiende ninapotaka kwenda mana alishajua.

Nikaenda mpaka ofisi za mtandao ninaotumia wakaniambia hakuna chochote kwenye simu yangu, nikamtafuta jamaa mmoja mtaalamu wa kudukua, tukadukua namba yake tukakuta anayempa siri zote ni msenge mmoja tulikuwa tunaishi nae geto enzi hizo.

Nilipiga chini wote.
 
Flash simu no other way au uza njoo kariakoo nikuuzie simu yenye self defense haiwezi hakiwa hata na IT wa marekani
 
Mimi nilikuwa na mchumba mkoa wa mbali na ninapoishi, kilichotokea demu akawa ananipa stori za kujua kila ninachofanya, na kweli unakuta nina appointment na demu mwingine then huyo mchumba ananipigia na kuniambia nisiende ninapotaka kwenda mana alishajua...
Huyo ungemuoa yeye
 
1. Angalia whatsApp web kama iko connect, disconnect.

2. Check your social media for listed active or log devices then consider to Change your social media password and enable 2FA.

3. Be loyal and faithful, Very important.

4. Taja aina ya simu unayotumia nikupe possible ways anazocheck mawasiliano yako kwa normal text
 
Samsung kaka
 
Mimi nilikuwa na mchumba mkoa wa mbali na ninapoishi, kilichotokea demu akawa ananipa stori za kujua kila ninachofanya, na kweli unakuta nina appointment na demu mwingine then huyo mchumba ananipigia na kuniambia nisiende ninapotaka kwenda mana alishajua.

Nikaenda mpaka ofisi za mtandao ninaotumia wakaniambia hakuna chochote kwenye simu yangu, nikamtafuta jamaa mmoja mtaalamu wa kudukua, tukadukua namba yake tukakuta anayempa siri zote ni msenge mmoja tulikuwa tunaishi nae geto enzi hizo.

Nilipiga chini wote.
Mkuu mlimjuaje uyo mtu?
 
Back
Top Bottom