Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,148
jamani wanandoa;ma dk tusaidiane kwa hili
tangu mke wangu ashike mimba amekuwa akitema sana mate
tangu na mie nijue hili kila saa natema mate nimepima minyoo mara 30 hakuna;kwenye hasira usipime akikasirika na mie nakuwa hii najaribu kujicontrol lakini nakuta nimejibu ovyo baadae naomba msamaha;naona
zoezi la kulala nalo linaninyemelea naomba mungu nisifike huko
nkasema hii ni nini;mkeo akiwa na mimba na wewe unaruhusiwa kumsaidia
akimwa usipime namie napata maumivu sehemu yoyoyte gafla sijui upendo kupitiliza ama