mke wangu akitema mate nami natema mate

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
jamani wanandoa;ma dk tusaidiane kwa hili
tangu mke wangu ashike mimba amekuwa akitema sana mate
tangu na mie nijue hili kila saa natema mate nimepima minyoo mara 30 hakuna;kwenye hasira usipime akikasirika na mie nakuwa hii najaribu kujicontrol lakini nakuta nimejibu ovyo baadae naomba msamaha;naona
zoezi la kulala nalo linaninyemelea naomba mungu nisifike huko
nkasema hii ni nini;mkeo akiwa na mimba na wewe unaruhusiwa kumsaidia
akimwa usipime namie napata maumivu sehemu yoyoyte gafla sijui upendo kupitiliza ama
 
Baadhi ya ujauzito huathiri hata wanaume nao husikia kichefuchefu kama wake zao, kama unatema mate kutokana na hicho kichefuchefu basi vumilia tu baada ya muda hali hiyo itapotea...lakini kama unatema mate tu for the sake ya kutema mate kama mrembo basi hili hata silijui ndugu yangu. Hongera kwa kazi nzuri :)
 
ahsante kaka
hili si kwa urembo limenianza tu baada ya mama kuanza kutema mate;yaan ukiwa nae garini kama uko na mgeni anaweza hisi tunacheza;anatema dirisha hili gafla nasikia vibaya natema na mie,na iwe kwako in jesus name
 
Haha hahha sipati picha duh! ila angalieni msiwatemee watu jamni njiani mhh mngekuwa Singapore sijui ingekuwaje!!!!!!
 
hahaha sasa mkuu sijui nikupe pole au hongera sielewi....anyway naona zote zinakufaa...Lakni Mungu wangu kama mimba kweli inaweza athili hadi mume hili mie naona litakua ni kikwazo kuja oa...maana shughuli yake...
 
we pdidy mkeo si alijifungua mwaka jana ..tayari umeshapa mimba nyingine lol mbona fasta fasta namna hii
 
NDO ZAKE HUYU!
Kila mwaka anazaa, kama panyabuku!
Lakini hii hali ni kawaida sana kwa baadhi ya watu. Kuna jamaangu anatapika mbaya sana mkewe akiwa mjamzito!
 
we pdidy mkeo si alijifungua mwaka jana ..tayari umeshapa mimba nyingine lol mbona fasta fasta namna hii

....kama ni kweli mimba za kila mwaka, basi lazima uonje yanayoambatana nayo ili utafute uzazi wa mpango.
 
jamani wanandoa;ma dk tusaidiane kwa hili
tangu mke wangu ashike mimba amekuwa akitema sana mate
tangu na mie nijue hili kila saa natema mate nimepima minyoo mara 30 hakuna;kwenye hasira usipime akikasirika na mie nakuwa hii najaribu kujicontrol lakini nakuta nimejibu ovyo baadae naomba msamaha;naona
zoezi la kulala nalo linaninyemelea naomba mungu nisifike huko
nkasema hii ni nini;mkeo akiwa na mimba na wewe unaruhusiwa kumsaidia
akimwa usipime namie napata maumivu sehemu yoyoyte gafla sijui upendo kupitiliza ama

mpaka hapa kipimo changu cha dna kinaonyesha kuwa wewe ndiye baba mzazi wa kilicho tumboni mwa mkeo.
hujaibiwa hata chembe.
sijui itakuweje siku ambayo mkeo atashikwa na uchungu.
 
Angalia sana isije ikatokea wakati anajifungua na wewe ukapata uchungu kma yeye
 
mpaka hapa kipimo changu cha dna kinaonyesha kuwa wewe ndiye baba mzazi wa kilicho tumboni mwa mkeo.
hujaibiwa hata chembe.
sijui itakuweje siku ambayo mkeo atashikwa na uchungu.

yaani hii thread kali.... Pdidy hongera na pole...hongera zangu kwa sababu ya kumsaidia mkeo masahibu ya mimba....sasa hapo pa labour sijui nawewe utakuwa wapi????/
 
kuna mambo ambayo ni ya kiimani zaidi,nijuavyo mm huwa wanasema kama mumeo hatulii hme,na ww mjamzito unahiytaji uwepo wake mara nyingi basi akilala mruke,mkeo akikuruka wakati umelala na anamimba unapata dalili zoteeeeeeeee za mimba,kichefuchefu,hasira,kisilani etc,ukifika wakati wa kujifungua na ww unapata uchungu kama yeye,my uncle ilimtokea hii pole san,jitahidi kutulia,mwambioe akuruke labda itapungua but asijue sababu ya kukuruka atakataa
jamani wanandoa;ma dk tusaidiane kwa hili
tangu mke wangu ashike mimba amekuwa akitema sana mate
tangu na mie nijue hili kila saa natema mate nimepima minyoo mara 30 hakuna;kwenye hasira usipime akikasirika na mie nakuwa hii najaribu kujicontrol lakini nakuta nimejibu ovyo baadae naomba msamaha;naona
zoezi la kulala nalo linaninyemelea naomba mungu nisifike huko
nkasema hii ni nini;mkeo akiwa na mimba na wewe unaruhusiwa kumsaidia
akimwa usipime namie napata maumivu sehemu yoyoyte gafla sijui upendo kupitiliza ama
 
Mmefanywa mwili mmoja mara tu baada ya kufunga ndoa. Usishangae na tukio kama hilo
 
we pdidy mkeo si alijifungua mwaka jana ..tayari umeshapa mimba nyingine lol mbona fasta fasta namna hii

jamani ile ni sukran ya mimba
uzao mwezi wa 4

ila si haba biblia inasema tukaijaze dunia kila mahala
hakuna ilipoandika annually,weekly,...teeeehhhteeehh
karibuni jamani ;dume linakuja,ttunakaribsha visox vidogo vidogo
visiwe michango ya waathirika morogoro lakini
man twasikia watu washaanza fanyia kazi misaada ile loh!!
Sijui watu kama hawa tunawaenzije kwa kula michango ya waathirika
 
kuna mambo ambayo ni ya kiimani zaidi,nijuavyo mm huwa wanasema kama mumeo hatulii hme,na ww mjamzito unahiytaji uwepo wake mara nyingi basi akilala mruke,mkeo akikuruka wakati umelala na anamimba unapata dalili zoteeeeeeeee za mimba,kichefuchefu,hasira,kisilani etc,ukifika wakati wa kujifungua na ww unapata uchungu kama yeye,my uncle ilimtokea hii pole san,jitahidi kutulia,mwambioe akuruke labda itapungua but asijue sababu ya kukuruka atakataa

kaka nimesoma hii kila niktym yeye anawahi kulala mi ndio namruka
we acha;watu mjini wanauliza vipi;bahati sina hata kitambi wangeulza kulikoni,i gazeti mshangao
 
ahahhahahahhahahah....polepole baba si kuna yule mume kazaa juzi??? Inawezekana eti!!! Vipi mwaka mpya?

qwi qwi qwi qwi
kaka si haba natafuta mchango wa nepi yakhe??
Kama dumu la mate pesa basi karibu tukuuzie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom