Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Tatizo mtu unafumaniwa halafu unaleta ubabe, lazima uumie.
Mtu ukifumaniwa unatakiwa kwanza ujifanye mnyonge ili mwenye mali asiandae nguvu nyingi dhidi yako. Tena akikuambia anaandaa mafuta unainama kabisa uelekeo wa mlangoni, unajifanya kumuomba asikuumize. Huku unakusanya nguvu. Akikupa upenyo ni nduki! Tukutane serikali za mitaa au polisi. Ukifika huko ni kesi, jumba bovu unamwangushia mkewe kwamba hukujua kaolewa. Unashindwa kesi, unaomba msamaha, unalipa faini yanaisha. Kama ni mitaa ya mbali zaidi au mkoa, unatoka nduki hadi bodaboda ya karibu, nduki tena unaunga boda 4 au 5 hivi kupoteza maboya, unawahi basi la kwenu unamtosa huyo manzi mazima, unamwachia msala wake.
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na Jana alifanyiwa operation ya pili,inauma na inaumiza Sana kijana mdogo Sana Ambaye hata miaka 20 hajafikisha Jamani mke wa mtu sumu

Iko hivi,jamaaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"Msela nondo"alikataaa katakata

Siku ya siku ikafika,mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa ambapo Kama kawaida ilitegemewa Angelala huko,hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "Msela nondo"kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, Ni kweli "Msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya),kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "Msela nondo"katika Hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "Msela nondo"akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke (kosa Lingine kubwa alilofanya)

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "Msela nondo"kichwani, Msela nondo akazima,Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "Msela nondo"kila sehemu mwilini,hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha,

Mpaka alipohisi ya kuwa amemumaliza kabisa,akambeba juu juu,na kumpeleka kwao"Bahati yake

Tumuombee Msela nondo apone Huenda akapata nafasi ya kujifunza,NARUDIA KUSEMA MKE WA MTU SUMU,INAUMA SANA TENA SANA,NAAMINI AKIPONA HATARUDIA ALICHOKIFANYA.
Mi nikimfumania mpnz na mwanaume mwingine wote wawili nawazibua chemba kwa zamu
 
Tatizo mtu unafumaniwa halafu unaleta ubabe, lazima uumie.
Mtu ukifumaniwa unatakiwa kwanza ujifanye mnyonge ili mwenye mali asiandae nguvu nyingi dhidi yako. Tena akikuambia anaandaa mafuta unainama kabisa uelekeo wa mlangoni, unajifanya kumuomba asikuumize. Huku unakusanya nguvu. Akikupa upenyo ni nduki! Tukutane serikali za mitaa au polisi. Ukifika huko ni kesi, jumba bovu unamwangushia mkewe kwamba hukujua kaolewa. Unashindwa kesi, unaomba msamaha, unalipa faini yanaisha. Kama ni mitaa ya mbali zaidi au mkoa, unatoka nduki hadi bodaboda ya karibu, nduki tena unaunga boda 4 au 5 hivi kupoteza maboya, unawahi basi la kwenu unamtosa huyo manzi mazima, unamwachia msala wake.
yan hii ni script ya bongomuvi kabisa yani
 
Hao wanawake nao tamaa imezidi.

Hawajui kusema NO
Ni bora wasiseme no wakiwa single,,lakini upo na mwanaume ndani..jamii yote inajuwa huyu ni mke wa fulani..mnapika mnapakua. Then unatongozwa unadanganya hujaolewa?!
 
Hao wanawake nao tamaa imezidi.

Hawajui kusema NO
Kwa tetesi ina semekana wake za watu wao ndio huwa chanzo cha yote hayo kwa vijana wadogo, ina semekana wao ndio huwatongongoza madogo na hatimae madogo kujilia tunda kimasikhara na madhara yake ndio hayo sasa ni aibu kubwa na ni hasara kwa dogo
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na Jana alifanyiwa operation ya pili,inauma na inaumiza Sana kijana mdogo Sana Ambaye hata miaka 20 hajafikisha Jamani mke wa mtu sumu

Iko hivi,jamaaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"Msela nondo"alikataaa katakata

Siku ya siku ikafika,mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa ambapo Kama kawaida ilitegemewa Angelala huko,hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "Msela nondo"kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, Ni kweli "Msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya),kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "Msela nondo"katika Hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "Msela nondo"akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke (kosa Lingine kubwa alilofanya)

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "Msela nondo"kichwani, Msela nondo akazima,Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "Msela nondo"kila sehemu mwilini,hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha,

Mpaka alipohisi ya kuwa amemumaliza kabisa,akambeba juu juu,na kumpeleka kwao"Bahati yake

Tumuombee Msela nondo apone Huenda akapata nafasi ya kujifunza,NARUDIA KUSEMA MKE WA MTU SUMU,INAUMA SANA TENA SANA,NAAMINI AKIPONA HATARUDIA ALICHOKIFANYA.
Alichomwa kisu tumbon, kisha akarusha kiti kwa nguvu kilichompata sawia msela nondo baada ya hapo akaanza kumchezeshea mapanga ....ama kweli dunia ina mambo.
 
Back
Top Bottom