jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,213
Heri ya mwaka mpya na habari za siku nyingi.
Mwaka jana nilikutana na huyu binti wa kirangi katika mazingira yangu ya kazi, sikujua kama ni mke wa mtu tukawa kama marafiki huku nikimsaidia mambo ya hapa na pale ila katika utani utani baina ya mwanaume na mwanamke nikajikuta na mtongoza alikaza sana ila mwishowe binti akaridhia kabisa tuwe wapenzi ila ndoa alisema muda bado tusubiri kwanza maana mimi nilikua natafuta mke
Ndugu katika mahusiano yetu nilifanikiwa kumnyandua mara kadha wa kadha ila kunakipindi nikimtoa out alikua kama hayupo sawa anaonekana mtu wa mawazo na mashaka mashaka na wakati mwingine anakua na haraka haraka zisizo eleweka.
Mimi ili kumpima na nijue kwanini yupo hivyo nikaanza hadi kupiga simu usiku wa manane inaita tuu haipokelewi na wakati mwingine akipokea anaonekana kuongea kwa mashaka na mwenye hofu. Tuliendelea hivyo hivyo baadae nikasema acha nimtake leo alale nje ya nyumba maana alisema anaishi mwenyewe, nikafanya mpango wa kumtoa out chukua lodge na kuanza kumbania humo ndani, ndugu nilifunga mlango na kuficha funguo ili asichomoke lengo ni kujua kwanini ana mashaka mno tukiwa out sehemu za makutano ya watu.
Nilimfungia mpaka saa tatu usiku huku nikimnyandua na kumweleza leo tunalaa hapa hapa tutaondoka kesho , aligoma kabisa nikajifanya simsikii, baadae ikabidi aanze kuzozana nika mwambia leo hutoki hapa lazima tulale gafla akaanza kulia (machozi ya kuigiza, simnajua tena wanawake) huku akisema ni muue tuu kuliko alale nje nikaona isiwe tabu nikamjibu kama kufa utakufa tu nikavuta shuka na kujifunika aliendelea kulia na kujitetea ila alipoona sielewi ndiyo ikabidi anichane wazi kuwa yeye ni mke wa mtu na ni mama wa watoto wa tatu nikabaki na shangaa maana hata kimuonekano haonyeshi kabisa kama ni mama wa watoto nikaona ananidanganya nikampuuza.
Sijakaa sawa ghafla akapigiwa simu na mwanamke mwingine rafiki yake akimuukiza yupo wapi akawa anasita kujibu nikaona acha atajijua mwenyewe, kweli tulivutana mpaka saa nne hivi usiku nikaona acha aondoke zake tuu nilimrudisha mpaka mitaa ya kwao nikamuacha hapo akawa anatembea kwa kukimbia huku akigeuka huku na kule.
Mimi nilibaki kutafakari sana kauli yake kuwa ""ni mke wa mtu na ni mama wa watoto wa tatu" nikaona acha nitafanya uchunguzi
Kweli katika kuchunguza nikajua kweli ni mke wa mtu na nilifanikiwa jua watoto wake wawili huyo watatu siku mjua nikaona acha ni mpige chini na mazoe sitaki tena.
Tokea hapo nika mblock ila akawa ananitafuta kwa namba mpya kila mara na mkanya hataki kabisa kusikia, na mtishia nita muambia mumeo unanisumbua ila wala hajali chochote anasema kama ni kuuliwa acha tuu auliwe ila ananipenda,
Sasa kawa king'ang'anizi na mara nyingi akikwazana na mume wake ataniandikia gazeti lenye ugomvi wao wala sijibu chochote kile .
Wakuu kuna kipindi anajitoa ufahamu anakuja mpaka kazi kwangu naona sasa analeta shida. Ndugu ni shaurini ni mfanyaje huyu mwanamke ni mueleze mumeo au ni mkaushie tuu au nimtengenezee mtego akija kazini kwangu akamatwe kama muhalifu mwingine awekwe lockup siku kadhaa kwanza?