Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

Kama kuna kuchezea hatari basi ni kuingilia ndoa ya mwanaume anayesafiri safiri....jamaa anarudi na ungo na mkungu wa ndizi then mama anakugawia hao "insects" kwa raha zake.

Tatizo sijamtongoza, kaja geto kwangu kimitego. Hata ingekuwa wewe ungegegeda tu. Yeye ndio chanzo, lakini mwenye makosa naonekana mimi
 
Ushaur Gan Unataka Hapo Sasa Na Unajijua Una Akili Timamu Na Unalofanya N Dhambi Je? Ange Kuwa Wakwako Ungejskiaje Usmtende Usicho Taka Tendewa. Watch Out

Chanzo ni yeye lakini, sio mimi. Kaja kwangu na kanga moja paja nje. Inauma lakini kuna uwaelimisha wanawake wenye ndoa kuacha kuwatega wanaume.

Lkn nita watch out
 
Jiandae kupata adui mkubwa maishani mwako maana hakuna kitu kinachokera kujua una mke unamuhudumia halafu anabonyezwa na mtu.
USIOMBE UKAFUMANIWA
FANYIA KAZI MISEMO HII
Mke wa mtu sumu....
Za mwizi arobaini...
Muosha huoshwa...


Utatupa feedback ukifumaniwa!

Mimi sijawahi mtongoza. Yeye ndio kajileta geto kwangu na mitego ya kanga moja na paja nje.
Lakini nitajitahidi nimteme
 
Hivi mnapoishi ni nyinyi watatu tu?! Lazima ipo siku mumewe atajua aidha kwa kuambiwa au kugundua yeye mwenyewe.

Nyumba inawapangaji wengi, ila mimi na huyo bwana tunaishi upande wa uwani. Kwa kweli hauna mawasiliano na upande wa mbele. Hata funguo za geti dogo tunalotumia anakaa nazo huyo dada.
Anyway, nijiandae kisaikolojia na vitendo nimwache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom