Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

Acha ushamba wewe kuchangamkia mtumba,hujui mke wa mtu ni used material? tafuta brand new material ndiyo uje humu jamvini kujisifia.Watu kama sisi tunaokula vitu vipya kila siku tunakuona ww ni outdated person.

We unajidanganya.....ule mpira unavutika na kusinyaa...eeehh
 
Ni wiki tatu zimeisha, mke wa jirani yangu aliingia geto kwangu ili nimrushie nyimbo kwenye simu yake. Alikuwa amevaa kanga moja, kakaa kwenye kochi wakati amekaa vibaya.

Nilipata hamu kali nikajikuta nimemparamia na yeye bila hiana akanipokea kwa mahaba nikagundua hajavaa pichu, tukaanzia kwenye kochi then tukahamia kitandani.

Kwa kuwa ilikuwa usiku saa 5 na mumewe alikuwa amesafiri, tuliinjoi hadi alfjiri.Sasa juzi mumewe kasafi, usiku kahamia kwangu.Licha ya kwamba nanogewa, naye pia kashafanya mazoea mumewe akisafiri huhamia kwangu.

Jamani hebu nishaurini, nifanyeje ili mumewe asije akajua.
Andika Mirathi kabisa!
 
Kuwa mwangalifu, hapo yawezekana mme wake anasoma ramani, siku akikuibukia, mkunddu wako ni wake na masela wake!
Ila vya kuiba vitamu sana, hasa hivi vimke a.k.a wazazi wenza. Nami niko majaribuni kwa sasa, ila shetani mpaka sasa kagonga ukuta. Kuna 'mke' wa mtu jirani hapa, anasumbua kimtindo, mara nim-burnie Cd, mara charger anaomba, mara pasi, na vivazi ndo hivyo hivyo!
Uanaume kazi!
Hivi nyie watu mnaishi kwenye mabweni nini?.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nidhairi huyo mamapoa hana kazi ya kufanya na mmewe anamjali anakula anashiba wakati Mme wake yuko bize .kama wewe una akiri timamu mshauri amwambie mmewe am keep bize wakati huo uwe unajiandaa kuwa mkeo atafanyiwa hivyo

Kula tano.
 
Ni wiki tatu zimeisha, mke wa jirani yangu aliingia geto kwangu ili nimrushie nyimbo kwenye simu yake. Alikuwa amevaa kanga moja, kakaa kwenye kochi wakati amekaa vibaya.

Nilipata hamu kali nikajikuta nimemparamia na yeye bila hiana akanipokea kwa mahaba nikagundua hajavaa pichu, tukaanzia kwenye kochi then tukahamia kitandani.

Kwa kuwa ilikuwa usiku saa 5 na mumewe alikuwa amesafiri, tuliinjoi hadi alfjiri.Sasa juzi mumewe kasafi, usiku kahamia kwangu.Licha ya kwamba nanogewa, naye pia kashafanya mazoea mumewe akisafiri huhamia kwangu.

Jamani hebu nishaurini, nifanyeje ili mumewe asije akajua.

Hivi mnapoishi ni nyinyi watatu tu?! Lazima ipo siku mumewe atajua aidha kwa kuambiwa au kugundua yeye mwenyewe.
 
Nunua mafuta ya ky jelly kwa maandalizi ya kuja kufumuliwa linda
 
Ushaur Gan Unataka Hapo Sasa Na Unajijua Una Akili Timamu Na Unalofanya N Dhambi Je? Ange Kuwa Wakwako Ungejskiaje Usmtende Usicho Taka Tendewa. Watch Out
 
Yawezekana kifo chako kimepangwa kitokee kwa njia hiyo
 
Unajua sana kutunga story tamu so ntafute nikuunganishe na gazeti jipya la udaku
 
Siku atakayo kuja mmewe, mwambie shemegi huwa anafata chaja kwako, hivyo mshauri amnunulie ili asiwe anakuja kwako.
 
Ni wiki tatu zimeisha, mke wa jirani yangu aliingia geto kwangu ili nimrushie nyimbo kwenye simu yake. Alikuwa amevaa kanga moja, kakaa kwenye kochi wakati amekaa vibaya.

Nilipata hamu kali nikajikuta nimemparamia na yeye bila hiana akanipokea kwa mahaba nikagundua hajavaa pichu, tukaanzia kwenye kochi then tukahamia kitandani.

Kwa kuwa ilikuwa usiku saa 5 na mumewe alikuwa amesafiri, tuliinjoi hadi alfjiri.Sasa juzi mumewe kasafi, usiku kahamia kwangu.Licha ya kwamba nanogewa, naye pia kashafanya mazoea mumewe akisafiri huhamia kwangu.

Jamani hebu nishaurini, nifanyeje ili mumewe asije akajua.

Jiandae kupata adui mkubwa maishani mwako maana hakuna kitu kinachokera kujua una mke unamuhudumia halafu anabonyezwa na mtu.
USIOMBE UKAFUMANIWA
FANYIA KAZI MISEMO HII
Mke wa mtu sumu....
Za mwizi arobaini...
Muosha huoshwa...

Utatupa feedback ukifumaniwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom