mwantui
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,639
- 846
hujafanya kipya duniani so endelea and remember you will pay for it either utalipa wewe au mtu wako wa karibu atafanyiwa ivo ivo unavofanya wewe..mkeo,mwanao,dadako au yeyote wa karibu atailipa hio dhambi sasa omba asiwe mkeo au mwanao utaumia sana...