Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

Ni wiki tatu zimeisha, mke wa jirani yangu aliingia geto kwangu ili nimrushie nyimbo kwenye simu yake. Alikuwa amevaa kanga moja, kakaa kwenye kochi wakati amekaa vibaya.

Nilipata hamu kali nikajikuta nimemparamia na yeye bila hiana akanipokea kwa mahaba nikagundua hajavaa pichu, tukaanzia kwenye kochi then tukahamia kitandani.

Kwa kuwa ilikuwa usiku saa 5 na mumewe alikuwa amesafiri, tuliinjoi hadi alfjiri.Sasa juzi mumewe kasafi, usiku kahamia kwangu.Licha ya kwamba nanogewa, naye pia kashafanya mazoea mumewe akisafiri huhamia kwangu.

Jamani hebu nishaurini, nifanyeje ili mumewe asije akajua.

Kaungame dhambi na utimize malipizi.
Alafu siku nyingine ukifanya hivyo usipige nduru humu kuhalalisha ufuska wenu.
Nakuckitikia swaaana.
 
Ni wiki tatu zimeisha, mke wa jirani yangu aliingia geto kwangu ili nimrushie nyimbo kwenye simu yake. Alikuwa amevaa kanga moja, kakaa kwenye kochi wakati amekaa vibaya.

Nilipata hamu kali nikajikuta nimemparamia na yeye bila hiana akanipokea kwa mahaba nikagundua hajavaa pichu, tukaanzia kwenye kochi then tukahamia kitandani.

Kwa kuwa ilikuwa usiku saa 5 na mumewe alikuwa amesafiri, tuliinjoi hadi alfjiri.Sasa juzi mumewe kasafi, usiku kahamia kwangu.Licha ya kwamba nanogewa, naye pia kashafanya mazoea mumewe akisafiri huhamia kwangu.

Jamani hebu nishaurini, nifanyeje ili mumewe asije akajua.

at first niliumiza kichwa kutafuta ushauri nikadhani unatafuta jinsi ya kumuacha huyo mke..kumbe unataka ujue ufanyeje mumewe asijue? nunua sumu afu mpe huyo mwanamke akamtilie mumewe kwenye chakula..eaaasy! a dead man is not aware of anything...nakuguarantee hatojua kamwe
 
Kwa style hii mashoga watazidi ongezeka siku mumewe akufumue marinda ndio atakuwa amekuanzishia muwasho
 
wewe una mdudu anakuwasha mku.....ni,,,, soon utakunwa....
 
Mida hiyo ya usiku ni mibaya sana kwa wizi kama huo, maana kuna siku jirani mwingine atamwona huo mke akiingia kwako, atamwambia mwenye mke, ambaye kama kawaida atafanya safari fake, halafu arudi usiku na kama ni mfanyabiashara kama mimi, ninao vijana wahuni ambao huwa nawatoa nao wananiita father, material yangu eneo la ujenzi yakiibiwa huwa yanarudhswa bila mimi kuangaika, ninchofanya ni kutoa taarifa tu kuwa pipa langu silioni, asubuhi nalikuta site. Kwa hiyo, nitakachofanya ni kuwaita na kuwambia, nimerudi saa 8 usiku, Mama ......simuoni, hebu jiandae tumtafute.

kaka imebidi nicheke sana kuanzia kwenye pipa kurudi bila ya wew kuhangaika
 
kaka imebidi nicheke sana kuanzia kwenye pipa kurudi bila ya wew kuhangaika

Hayo ndo maisha ya mujini Kaka, lazima uwe na vijana ambao wana-monitor mwenendo wa mali zako bila ya watu wengine kufahamu tena kwa gharama ndogo sana, ukipita kijiweni unawaachia book 5, siku nyingine kama mambo yameenda vizuri unawaachia mwekundu mmoja, nakwambia huibiwi kitu, na ukiibiwa wanatajana, kupigana na kuonyana wenyewe kwa wenyewe bila wewe kujua, na mali yako inarudi, ukiwauliza kulikoni au ilikuwa wapi wanakwambia "father" wewe hilo tuachie sisi.
 
Usiogope........mumewe hawezi kujua........nani atamwambia sasa........?........wewe endelea...........
na ukizingatia wapangaji wengine wamelala fofofo....
Preta

Ukizingatia anakuja kwangu saa 5 usiku na kuondoka saa 11 alfajiri. Asante kwa ushauri mzuri

yaani wewe jipigie, hakuna wakujua issue hiyo labda umwambie mtu mwingine.....
 
naomba ushauri huu huu uliotoa mmewe akija kukubemendaa utupe taarifaa pls maana story yako inaelekea kutamu
 
Ungejua gharama ya mke hata usinejaribu kufanya uovu ka!a huo, Mkuu najua ulijikwaa mara ya kwanza basi nakuomba uachane na mke wa jamaa assume ungekuwa Wewe ndo mwenye mke ingekuwaje au ungejisikiaje hayo maumivu?

pujo
 
Muda piru kabisa.........we gonga ngozi.........huyo jamaa f a l a tu............
Wewe mbaya sana, huu ujasiri uliokuwa unampa huyu mtu sijui kama ulimuacha salama. 😁 😁 ... Long time no see, nini mbaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom