Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

Mke wa mtu kaja chumbani kwangu

Haya matukio yamezidi sana watu kutoa ushuhuda wa kutembea na wake za watu. Sijasikia sana wanawake wakiongelea kutembea na waume za watu. Unataka ushauri ili mumewe asijegundua, daah! unatafuta hatari sana. Achana nae, tena muogope kama ukoma. Mungu hapendi na siyo vizuri kuvunja amri ya sita na mke asiye wako, hata kama yeye ndiyo kishawishi kataa.
 
Licha ya kwamba nanogewa, naye pia kashafanya mazoea mumewe akisafiri huhamia kwangu.

Jamani hebu nishaurini, nifanyeje ili mumewe asije akajua.
Kama unenogewa....endelea, shida ni nini?
 
Una vaselin....????? Nice question kama hamna iweke stand by koz time is of essence kuliwa kupo tuu koz si ulikula
 
Rudiarudia alichoandika Kasharobana na Junior 4 pia picha aliyotuma Galore uiweke screesaver kwenye simu na computer yako jijaribishie kidole kikubwa unapooga leo mchana
 
Acha ushamba wewe kuchangamkia mtumba,hujui mke wa mtu ni used material? tafuta brand new material ndiyo uje humu jamvini kujisifia.Watu kama sisi tunaokula vitu vipya kila siku tunakuona ww ni outdated person.

Kwa hiyo mama yako kwa kuwa ni mke wa babako the naye ni used material?
 
Nzuri hiyo ila wot goes around comes back around....cku kifaa chako cha kunyea kikipata hitilafu usijiulize kwann
 
Sibahatika kusikia mkasa wa jamaa kuliwa 0714 embu ngoja nisubirie hii huenda tukapata mrejesho wake
 
Wakati mwingine hizo kazi za kufanya mbali na wife kwa muda mrefu ni majanga!
nimekuona kama unapapara sana; KONDOM una kumbuka?
ukute mwanamme wake anapiga masafa na kuchukua mademu hovyo...utakuta Huna bahati....ukimwi wako!
ujue wanandoa siku hizo ni hatari kuliko singles? Huwa wanajiachia kwa kuwa yupo wa kumsingizia...
kazi kwako!!!
Cha kuiba kina raha yake hasa kwa aliachwa peke muda mrefu....Ana ham!
 
.......Nasikia mumewe ameathirika kama vipi nunua kabisa KY Jelly na Kondomu ili akikukamata usiumie sana na asikuambukize HIV.
 
mbona humu ndani ushuhuda kwa kufanya ngono na wake za watu umezidi sana na nini kinachofanya uje humu jf kutoa taarifa....umezini unakuja kutangaza nini mbele ya uma wa wana jf....acha ulimbukeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom