Mke wa mtu anataka nizae nae

Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
Unatafuta KUMEGWA
 
I am completely disappointed with this topic, coz mambo mingine hayafai hata kuyasikia,ungejisikia vipi kama mke wako ndio ka fall in love na mume wa mtu?? Hio good time unayoipata ndio uchungu ambao ungekuwa una usikia. ACHA TABIA HIO MBAYAAAA!!!, kama wewe unajihisi ni kijogooo oa as much as you can !
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

Sharia law ya usawa (law of equality) inasema:

"Chochote unachowafanyia watu, kiwe kizuri ama kibaya, basi nawe utakuja kufanyiwa vivyo hivyo kwa namna moja au nyingine".
Examples:
1. Kama wewe ni mtoto/kijana jeuri, unawafanyia ujeuri wakubwa/wazee, basi nawe ukizeeka utafanyiwa vivyo hivyo.
2. Kama wee unapenda kuzini dada na mama za watu basi nawe ujue dada na mama zako nao wataziniwa na wanaume wengine.
3. Kama wee umeoa na unafanya uzinifu basi ujue mkeo naye ataziniwa na mwanamme mwengine. Kuthibitisha hili, takwimu zinaonyesha kuwa waathirika wengi wa ukimwi ni walio ndani ya ndoa.
4. Kama wee umeolewa na unamfanyia mkweo jeuri basi nawe utapata mkwe atakunyanyasa.

Unatuomba tukushauri juu ya kuzaa na mke wa mtu wakati huo uzinifu mnaoufanya umekatazwa. Kweli wee ni GREAT THINKER na sio MTOA PUMBA!!!
 
We unaona sifa? Na unajisifii kabisa yanii? Dah pole ndugu . Binafsi hiyo si tabia nzuri mimi nakuambia ukiendelea hivyo ndoa yako iko mashakani kuvunjika siri sirini ndugu yangu mkeo atakuja jua tu. Kama huwezi achana na huyo mke watu basi amua moja kila mmoja amwache mwezake we umwache mkeo na yeye amwache mume wake muone tu si mnaona mnapendana.

Ila huo ni ujinga mkbwa sana
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
Shetwani umetumwa na shetani. Umeharibikiwa tafuta nafasi tafakari halafu mtafute Mungu wako utubu. Usilete kushawishi kwa wengine wajifunze ushetani wako.
 
Labda scenario hii itakusaidia kutafakari: Next time utakapokutana na huyo dada (mke wa mwenzio), kwa kila mtakalofanya pata picha ni MKE WAKO anafanyiwa/anafanya hayo na mwanaume mwingine kama wewe. Na usi-dismiss kuwa "Aaaah, hawezi!" kwani kama wewe na huyo mmeweza, tena without scruples, yeye anashindwa nini?
 
Kwa sasa watu wanaoongoza kwa maambukizi ya ukimwi ni wanandoa, kwa hiyo angalia sana ukimwi upo utakuja uitese familia yako.
Ushauri kama unaona kwa mkeo kuna mapungufu kwa nini usikae ukamwambia? Mapenzi kuzungumza na sio kwenda kutafuta mwanamke nje mana hicho unacho pata kwa mke wa mtu hata mkeo anaweza kukupa na ukakipata muhimu ni kuelezana .
 
Kwani ulivyoanza ulituomba ushauri??We vipi kwani hujui mke wa mtu ni kosa?Kibaya zaidi unataka kuzaa naye,wewe angalia vizuri.Japokuwa wewe ni shetani Mungu unamtii tu.Mungu anasema usimtamani mke wa jirani yako.Kama umeona ni vizuri endelea na uhusiano wako usitake kunitia katika matata kwa kusema ulipewa ushauri na mimi.Endelea kwa raha zako.Yatakayokukuta sijui
 
mkuu situation ulionayo ni ngumu kuliko unavyoifikiria.at the moment things might seem to be ok but believe me mambo yakiharibika yataharibika kweli!!cha msingi pima mapenzi yako kwa huyo mke wa mtu na mapenzi yako kwa mke wako.kama unaona huyo mwanamke ni zaidi basi fuata taratibu zinazokubalika ili apate talaka kutaoka kwa mume wake na wewe umuache mke wako ili wewe na huyo mke wa mtu mkae pamoja kwa uhuru na amani.lakini mchezo mnaoufanya kwa sasa utakuja kuwatokea puani.unachokifanya kwa sasa ni sawa na kukumbatia nyuki hai.nyuki anatengeneza asali tamu lakini akikung'ata maumivu yake hayafanani nae
 
huyu kweli shetani mke wa mtu!!sijui unaomba ushauri gani hapa,sijui ulitaka tukusifie na uzizi wako huo,hili jukwaa ni kwa ajili ya kujenga na si kubomoa so achana na mke wa mtu,
 
unajiona mjanjaaa ungelijua kwamba mke wako naye amefall in love kwa mshikaji muuza mkaa hapo jilan yako nafikiri ungejua kweli we ni juha, tena wife wako anafuata kukunwa jicho a.k.a tigo na keshi anakata kwa msela kama hanaakili nzuri, mtaa mzima wanajua.
 
Kama hivyo ndivyo basi mwambie mkeo naye amwambie mumewe kama wataridhia fanyeni kwani nn? Si watakuwa wamekubali mtakayo kuliko kujificha kwani mapenzi ni kikohozi yatakuja fichuka kweupee hiyo soo yake ni bora u.....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom