wabara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,500
- 706
badala ya kumpa ushauri mnaanza kumtisha... kuna uzi ulianzishwa apa kuhusu kama umewahi kucheat ktk mahusiano jibu kila mtu anajua hakuna aliyesema hajawai sasa mnashangaa nn!!! kwa mimi hii imekaa kistaarbu maana haitaleta shida kote kote maana ucku haman msg za ajabu kila mtu yuko kwake na wake labda ushaur ni tu kuzaa noma maana hiyo itaweza julikana unless muwe na huyo mume halisi mnafanana hata kwa mbali... cha msingi wote mna uwezo kwa iyo hapo mmeunganishwa na mapenz tu kwan hamjui jaman hata kama main matamu kuna cku utataman maharage!!!!
bona huo ushawishi wako upo katika mfumo gani huo naelekea kuamini utakuwa mfumo wa kufikiri wa KISHETANI huo, kwanza tambua chini ya jua hakuna siri, pili za mwizi 40 japo wapo wawili lakini itabaki hiyohiyo, Ushauri wangu sasa, wabadilishane umiliki,