Mke wa mtu anataka nizae nae

Shetani one; uchungu wa mke/mme haujua mwenye nacho.
Ukitaka hilobasi siku moja mkeo akufanyie hayo kwa dume lingine. Ukiona yafaa basi endelea na kama utaona uchungu ACHA MARA MOJA. UTAJAKUGECHWA BURE.
Kumbuka watoto hutoa mungu tu.
 
DOGO...acha upuuzi..mbona wenzako tunakula wake za watu ila sio kama wewe...maana mie huyo naona kama "umejioza mke wa mtu" na mbaya kabisa unataka "kuzaa naye"... ?... kwa hiyo huyo mtoto atakuwa wa nani?..kama wa kwako, je utamleaje maana atakuwa anaishi na mkeo kwa baba-ake mlezi.... dogo nakuona "unavyoliwa kiboga very sooon"...

mke wa mtu huzai wala huruhusiwi kuzagaa naye kitaa kama unavyojisifia wewe kuwa mnashare gari mara mnatoka wote lunch...pumbafu wee
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
acha uongo wewe yaani mke wa mtu halafu kila siku lazima mkutane kwa breakfast, lunch , dinner n.k. for four years, how comes
 
kama jina lako lilivo basi tabia zako hivo hivo.jali wanao na jali ndoa yako na ya mwenzio.kwani huyo dada anakupa nini cha zaidi ambacho mkeo hawezi kukupa ni tamaa tu hizo Mr Shetani au nikuite Lucifer kabisa alifukuzwa mbinguni maana hakuridhika alitaka kuwa sawa na Mungu.Sasa ww inabidi uache huo ufuska mara moja. Ungekuwa Moshi wangeshakusodoma wewe.KOma kabisa lindaa na tunza familia yako
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

Achana na tabia chafu ya kujisifia kuwa na mke wa mtu. Ni hatari sana kaka....utakuja jutia na kukosa raha maisha yako yote.... Kama ni muisilamu au mkristu safi, naomba utubu kabla ya yote....na uache hiyo tabia....
 
Nasikitika sana na wewe ujue kuwa huna mtoto hata mmoja katika ndoa yako na mke wako nae anajisifu hivyo hivyo kuwa hadi leo hii hujajua kuwa unamtoto kati ya hao watoto! bora ya huyo mwenzako unayejifanya umemzidi ujanja anawatoto wake wote! Na kuna haja gani ya kwenda kupima kama mna miaka minne?

Kama ni kweli unafanya hivyo ujue mke wako ndio zaidi!
 
Sikio la kufa halisikii dawa!
Wewe unasema mkeo hajui wala mumewe hajui ila Mungu anajua!
Na hiyo miaka minne Mungu amekupa Neema akitegemea utatubu!
Sasa jiandae maana anguko lako li karibu!
Mhubiri 9:1. Mainzi mafu huvundisha marhamu ya mwuza marashi; Kadhalika upumbavu haba ni mzito kuliko hekma na heshima; Bali moyo wake mpumbavu upo mkono wa kushoto.
 
Biblia inasema; "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomangamiza nafsi yake." (Mithali 6:32)
 
biblia inasema; "mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomangamiza nafsi yake." (mithali 6:32)

nyie mshaona mtu anaitwa "shetani" halafu mnampa mistari ya biblia??
Haita saidia...
Cha kwanza tumuombe atuambie kisa cha kujiita "shetani one"... Ndio tutafahamu cha kumshauri.
 
Kaka nadhani humtendei haki mwanamume mwenzio. Ni dhambi kubwa hiyo. Put yourself in his shoes do you fit in?
 
"Ukimuona shemeji yako anatoka nje ya ndoa, kampige makofi dada yako".
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

It is sad that kuoa ni status inayoheshimika, wasiooa wanahimizwa kuoa, ndoa zenyewe ndiyo hizi ?

Si bora hata sie tusiooa tu.
 
Mwenye mke ni member wa jf subiri ameshaanza kazi ya kukujua . Kaandike wosia
 
Natamani sana kukuona ili angalau nikuone hiyo jeuri uliyonayo ni ya nini kutembea na mke wa watu.....

Nimefuatilia maoni ya watu wote toka mwanzo watu wote wamelaani sana kitendo hicho kama ni mwenye akali timamu ni kuachana na mke wa mwenzio na kutubu kanisani kama ni mkristo lakini kama utaendelea hii laana hata chukua muda majibu yatapatikana!
 
Jamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.

Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto

Andaa kabisa jeneza maana muda si mrefu mwenye mali atakupasua kichwa chako na utazikwa kama nguruwe, zuzu sana wewe, ila kitu kizuri ni kuwa hata mke wako wanamtafuna hivyohivyo na hao watoto unaoambiwa umezaa naye, umesaidiwa na midume wenzako... shetani kabisa. watu wa kwanza kuvujisha siri ni hao ndugu zake wanaofahamu...na hapo ndio mwisho wa maisha yako....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom