Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

Ameniahidi vitu vingi na ananitumia pesa kila siku anacho niomba yeye ni mimi kumkubalia ombi lake......kichwa kinaniuma sijui nikubali au nikatae.
 
Yeye anataka mapenzi mimi nataka pesa.... sijua nifanyeje nahitaji pesa na nina shida na pesa kwa sasa

kama unashida sana ya Pesa ni PM vigezo na masharti kuzingatiwa bt king'amuzi changu ni Urefu nchi saba na Kipenyo chako kisipungue 5 cm!
 
Ulishasema ni dhambi kubwa kutembea na huyo mwanamke na pia unamwonea huruma mumewe, sasa unataka ushauri wa nini?

Dhamira yake bado iko hai na imempa jibu sahihi hatakuiandika anataka kuibia kwa wengine.
 
Ameniahidi vitu vingi na ananitumia pesa kila siku shida yake yeye ni mimi nikibali ombi lake la kutaka kuwa nae...... Ninachowaza ni juu ya hali ya mmewe.....nifanye nini mimi...? sipendi kufanya hivyo tatizo ni huu ukata nilio nao..
 
Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo mwanamke nilijua anakaa na kaka yake kutokana na jamaa kuonekana kuwa mkubwa kiumri kushinda huyo mwanamke ambaye mimi nilikuwa najua kuwa ni kaka yake. Huyo jamaa amepata ajali na anatembelea machuma yale ya kusukuma halafu na yeye anasogea kumbe nivyokuwa nadhani sivyo huyo jamaa alikuwa ni mmewe. Huyo mwanamke tumezoeana sana mpaka kufikia hatua ya kuchukua namba yangu ya simu. Sasa tatizo ambalo linanisumbua ni kwamba huyo mwanamke ananitaka mimi kimapenzi na anaongea maneno mabaya juu ya mmewe. Huyo mwanamke ana pesa ameniahidi kunipa kila kitu nitakacho kihitaji tatizo mimi namwonea huruma mmewe kwa hali aliyo kuwa nayo nahisi nikimkubalia huyo mwanamke itakuwa ni dhambi kumwa ambayo sijawai kuifanya tangia nizaliwe. Kwa sasa mmewe yupo kama mlemavu kwa kuwa hatembei nishaurini jamani nifanyeje nimkubali au nimkatae...!! Pesa nahitaji tatizo namuonea huruma mmewe NIFANYAJE....?

Duuuh! Pole sana, ila kwa neema tu ni kwamba ubongo wa binadamu ni mkubwa kuliko wa ndezi! Tumia bhana hapa Jf tuseme nini?
 
kiongozi ukichunguza sana.hata ukilema wa mme wake ulitokana baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.u stil young.stay focused.achana na matamanio ya wake za watu.
 
oin Date : 19th January 2013
Location : dar es salaam (TANZANIA)
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received:
0
Likes Given:
0
umepitia jukwaa la utambulisho?
mke wa mtu sumu kaa mbali sana usidhani ulemavu wake haoni au hatajua
angalia usije sodomwa na kugomolwa.
 
Ikimbie zinaa kma upo kwenye mbio za marathon vilee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Funguka ya maziwa kivipi? Wake za watu wanakwenda sana kwa sangoma sasa maziwa yako eapi?
 
ukisikia kutaka kulelewa ndio huku.kijana tafuta kazi ujishuhulishe.kujiuza sio lazima usimame barabarani.tamaa mbaya.tena unasema kabisa unataka hela zake.jamani huoni aibu?
 
Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo mwanamke nilijua anakaa na kaka yake kutokana na jamaa kuonekana kuwa mkubwa kiumri kushinda huyo mwanamke ambaye mimi nilikuwa najua kuwa ni kaka yake. Huyo jamaa amepata ajali na anatembelea machuma yale ya kusukuma halafu na yeye anasogea kumbe nivyokuwa nadhani sivyo huyo jamaa alikuwa ni mmewe. Huyo mwanamke tumezoeana sana mpaka kufikia hatua ya kuchukua namba yangu ya simu. Sasa tatizo ambalo linanisumbua ni kwamba huyo mwanamke ananitaka mimi kimapenzi na anaongea maneno mabaya juu ya mmewe. Huyo mwanamke ana pesa ameniahidi kunipa kila kitu nitakacho kihitaji tatizo mimi namwonea huruma mmewe kwa hali aliyo kuwa nayo nahisi nikimkubalia huyo mwanamke itakuwa ni dhambi kumwa ambayo sijawai kuifanya tangia nizaliwe. Kwa sasa mmewe yupo kama mlemavu kwa kuwa hatembei nishaurini jamani nifanyeje nimkubali au nimkatae...!! Pesa nahitaji tatizo namuonea huruma mmewe NIFANYAJE....?
Je kma ingekuwa wewe ndo uko katika hali ya huyo jamaa ungependa mtu amaege mke wako?.....u have the answers
 
Nakushauri ukaolewe na huyo shuga mamy! Dogo kweli hili ni la kuomba ushauri? mwenyewe unasema ni mke wa mtu.USIPOANGALIA UTAKUJA KUKOJOA "DAGAA".
 
Yeye anataka mapenzi mimi nataka pesa.... sijua nifanyeje nahitaji pesa na nina shida na pesa kwa sasa

sasa tatizo lipo wapi...pesa lazima uitole jasho basi wewe nenda kamgegede bidada ili upate pesa bwana
 
Nasoma nipo chuo pia nafanya graphics and design sio kama sina kazi ya kufanya pesa napata bt yeye ameniahidi vitu vingi pamoja na pesa.
 
Back
Top Bottom