Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

Mke wa mtu ananitaka nifanyaje..?

Nasoma nipo chuo pia nafanya graphics and design sio kama sina kazi ya kufanya pesa napata bt yeye ameniahidi vitu vingi pamoja na pesa.

ndugu yangu acha hiyo kitu! utafanywa kitu mbaya bila shaka umesikia baadhi ya majibu hapo juu.
 
Sidhani kama unajua umeandika nini hapa! Kwani ndugu yangu umekatika mikono? Kwa nini upende pesa za kutafutiwa tena na mke wa mtu?

Mbona una dhalilisha utu wako!

Think big!

Kukataa tatizo ameniahidi pesa ndiyo nawaza nifanyaje.
 
Inaonekana unayo maamuzi unayotaka kuyatimiza, unashauriwa acha wewe unang'ang'ania tu unataka pesa. Tamaa yako ya pesa itakuponza, laana ya namna hii itakurudia mwenyewe utakapooa na wewe utapata matatizo kama ya mwanaume mwenzio si na wewe watakugongea mkeo? Achana na huyo mwanamke kuna maradhi pia wala hufikirii wewe unawaza pesa tu.
 
Cha msingi mimi sitaweza kufanya kama vile yeye anavyo niagiza nifanye kama pesa wazazi wangu wapo wanaweza kunipatia.
 
Yeye anataka mapenzi mimi nataka pesa.... sijua nifanyeje nahitaji pesa na nina shida na pesa kwa sasa

Mkuu mbona kama haushauriki, wewe umekuja kuomba advice then wadau wanakupa ushauri halafu bado hauelewi....!!:nimekataa, try to put urself in the victim's shoes ndo uone kama wat u are trying to do ni sawa
 
Nimesha mpigia simu na kumwambia aachane na mimi.... na namba yake nimefuta kabisa
 
mbona tayari una maamuzi? humu JF unakuja kutu-enjoy kuwa umepata mke wa mtu mwenye pesa au ni aje? subiri utakapokuwa naye room unataka ku-nanii mara unajikuta nanii yako haipo mahali pake then unawaona panya wawili darini wanakimbizana huku panya mmoja amebeba nanii zako ndio utajua kuwa maharage sio mboga!
 
mwanaume unapenda vitu vya dezo sana. ulivyokazania pesa hadi aibu. na katika wanaume wakiitwa utatoka mbele kweli? huyo mumewe atakukata kichwa
 
Sasa tatizo ambalo linanisumbua ni kwamba huyo mwanamke ananitaka mimi kimapenzi na anaongea maneno mabaya juu ya mmewe. Huyo mwanamke ana pesa ameniahidi kunipa kila kitu nitakacho kihitaji tatizo mimi namwonea huruma mmewe kwa hali aliyo kuwa nayo nahisi nikimkubalia huyo mwanamke itakuwa ni dhambi kumwa ambayo sijawai kuifanya tangia nizaliwe.

Usikilize moyo wako;
Una shida ya pesa ingawa huna shida ya mbunye!
Unamuhitaji huyo mwanamke maaluni kwa ajili ya ajira!
Amekuahidi ajira yenye mshahara bora kabisa.
Ikizingatiwa huna ajira;
Qanini ukatae ajira?

Mlinzi ni mbovu, yaani mlemavu;
Ni mlemavu hadi kiuno na ubongo;
Hana uwezo wa kutambua kuwa vyake vinaliwa;
Hana uwezo wa kuandaa kisasi.
Naam kisasi cha kufanyia upasuaji MNYEO wa maalun.​

Nakusauri usikilize moyo wako;
huku ukiandaa mnyeo qa ajili ya upasuaji wa qanza.
Upasaji ambao utakuwa endelevu.
Kumbuka Mlinzi mgonjwa hakabidhiwi lindo.
Iwapo mlinzi ni mgonjwa; ewe mwivi ingia ujichukulie vitu qa ulaini.


Ndimi Bazazi!
 
Oh Sio Kama sina kazi nafanya graphic and design, nimesoma chuo kikuu! Oh Kama pesa wazazi wangu watanipa! Seriously? U behave like a gay dude, be a man act like one! Don't try to bring ur kindergarten stories here!!
 
Mimi ni kijana mwenye umri fulani tatizo linalo nisumbua ni kwamba sehemu tunapoishi kuna jamaa ameamia yeye pamoja na mke wake. Wakati wanaamia sehemu ambayo mimi naishi mara ya kwanza huyo mwanamke nilijua anakaa na kaka yake kutokana na jamaa kuonekana kuwa mkubwa kiumri kushinda huyo mwanamke ambaye mimi nilikuwa najua kuwa ni kaka yake. Huyo jamaa amepata ajali na anatembelea machuma yale ya kusukuma halafu na yeye anasogea kumbe nivyokuwa nadhani sivyo huyo jamaa alikuwa ni mmewe. Huyo mwanamke tumezoeana sana mpaka kufikia hatua ya kuchukua namba yangu ya simu. Sasa tatizo ambalo linanisumbua ni kwamba huyo mwanamke ananitaka mimi kimapenzi na anaongea maneno mabaya juu ya mmewe. Huyo mwanamke ana pesa ameniahidi kunipa kila kitu nitakacho kihitaji tatizo mimi namwonea huruma mmewe kwa hali aliyo kuwa nayo nahisi nikimkubalia huyo mwanamke itakuwa ni dhambi kumwa ambayo sijawai kuifanya tangia nizaliwe. Kwa sasa mmewe yupo kama mlemavu kwa kuwa hatembei nishaurini jamani nifanyeje nimkubali au nimkatae...!! Pesa nahitaji tatizo namuonea huruma mmewe NIFANYAJE....?

Kama kweli we binafsi ungelidhia kumegewa mke woko na jamaa mwingine kama ungekuwa naye..nac mmege huyo mke wa mtu lakin kama wew binafs ucngependa kumegewa mkewako bac achana na huyo mke wa mtu usisalit nafs yako.
 
Ushauri: Mtafute yule kijana wa I.fm hostel kigamboni akueleze utamu wa unachotaka kufanya:target:

Nimependa ushauri wako mkuu,hawa vijana ambao hawajaoa hawajui uchungu wa mke!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kumbuka kuna kitu kinaitwa 'TEGO' alafu ukianza kumla huyo Mke wa jamaa Fahamu Tigo yako ipo rehani wakati wowote.
 
Kumbuka kuna kitu kinaitwa 'TEGO' alafu ukianza kumla huyo Mke wa jamaa Fahamu Tigo yako ipo rehani wakati wowote.

Umenifurahisha mkuu.
Mia:.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
baba kama utashindwa blood test ya msingiii...nakama utakuwa nae mpe condition yakumhudumia mumewe....wewe unamakosa utafanyaje mazoea na mke wa mtu....?
 
acha mambo ya ajabu mkuu,muheshim huyo mwanaume mwenzako huyo mwanamke mtazinguana siku moja atakavyokufanya utajuta hata kumjua sababu ni mke halali wa mtu.
MPOTEZEEEEE KAKA!...
 
Back
Top Bottom