Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

Kitendo hicho kilimkasirisha Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa Arusha alitumia mamlaka ya kumwondosha Mke wa Gambo katika nafasi ya Afisa Elimu.
Mkuu tupe ushahidi walau kidogo basi kuhusu hiyo πŸ‘† tuhuma, isijekuwa unatulisha matangopori kwa hadithi za kutunga.
 
Hiyo sheria ina macho ,hapo angemsifia yule mtu na kusema mitano tena ,asingeguswa
 
Makonda na Haji Manara hivi hawajawahi kugombana na nani?
 
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa wa haki SSH kwa hili.
 
Halafu wote wa kuja wanataka kuuana kwenye jimbo la watu, Arusha kataeni wahuni hao.
Naunga mkono hoja, hivi Arusha haina wenyewe tangu vyama vingi vianze, kila siku ni wakuja tuu wanapigana vikumbo?!

Naomba nisiseme zaidi nikaitwa mbaguzi, hili jambo la Arusha, niliwahi kushauri humu Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Batilda Buriani) na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu! tena Arusha ubaguzi wazi wazi
Ole Medeye atangaza vita na wachaga asema watang'oka Arusha na hapa Lema: Magembe ni Waziri Mzigo na Medeye ni bomu!
P
 
Sad
 
Makonda lower your ego !,will cost you!
 
Gambo hawezi shinda hiyo vita kwa sababu ana roho mbaya sana na kiburi. Hana watu, saddist, kaumiza sana watu kwa mambo ya uongo, majungu, fitna ili ashike nafasi za kisiasa
 
Mfano walimu wakusanyike na kuweka vikao huku wamevaa nguo za "Tuna imani na mama" au "mitano tena" wangefukuzwa kazi? Kosa la huyo mama ni kuwa yupo against na makonda
 
Gambo hawezi shinda hiyo vita kwa sababu ana roho mbaya sana na kiburi. Hana watu, saddist, kaumiza sana watu kwa mambo ya uongo, majungu, fitna ili ashike nafasi za kisiasa
Kwani makonda hajaumiza watu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Siku zote huwezi shindana na wenye mamlaka
Duh!
Kwa hiyo tufanyeje sasa!
Kwa kweli leo ninakushangaa sana kwa kusema maneno haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…