shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
Jamaa mmoja huku nilipo amefilwa na wanaume wenzake watano(5) baada ya kuonywa mala nyingi aache kutembea na mke wa binamu yake lakin alikuwa mbishi.mwenye mke akaamua kumkodishia wafilaji wa ghafla.
Hii hata mi nshaishuhudia mahali ,mke wa mtu sumu jamani