Mke wa kaka anataka tuendelee

Mke wa kaka anataka tuendelee

Aiseee!! Kama ni kweli kwa namna unaomba ushauri ni kama unataka ridhaa ya namna ya kuendelea.

Ifikie hatua muheshimiane kwa sababu hamna faida mtapata zaidi ya kuziaibisha familia zenu.
 
Watu wanapiga story zao za ajabu humu bila kuupa heshima mtandao. Dakika yotote unakuumbua au kutengeneza kifo chako.

Kitendo cha kuandika namna alivyotumwa na kaka yake na eneo husika basi ameharibu kila kitu
Zingine hizi ni chai tu mkuu sema tunachangia tu kuchangamsha genge 😀
 
Habari wana jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada

Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini

Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa

Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.

Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.

Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni

Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.

sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
Hii michezo ya kumtoa mtu kijijini eti unamsaidia, kumbe unajiaribia.
 
Mkuu mbona unahasira au wife wako wanamnaniiii😅
HHuyu dogo ana amini kaka yake ni fala hawezi kuwemo humu jf,dogo utaleta mlejesho wa kaka yako akiyafumua hayo marinda yako.
 
Aiseee!! Kama ni kweli kwa namna unaomba ushauri ni kama unataka ridhaa ya namna ya kuendelea.

Ifikie hatua muheshimiane kwa sababu hamna faida mtapata zaidi ya kuziaibisha familia zenu.
Tatzo ananipa na vipesa sasa nikimpotezea nisipewe hela mkuu
 
Ni kwambie tu ukiacha kumchakata ndio mambo yote yataharibika. Hata huo msaada wa Kaka yako utaukosa . Maana huyo shemeji yako atajihami akijua kuna kitu unataka umuharibie hivyo lazima akuwahi hata Kama huna mpango wa kumuharibia.

Cha kufanya kwa sababu ulisha gonga hata ukiacha tayari uligonga hivyo haita saidia.

Hivyo basi endelea kumla ila kwa kutumia akili Sana na inatakiwa wewe ndio umkontroo na asikuone Kama mtoto akuone mtu mwenye misimamo yako . Acha kujichekesha chekesha mbele yake . Uwe kauzu kwake ....punguza kabisa mazoea na utani kwake yaaani mbadirikie Hadi ashangae ila hakikisha unamtomba ipasavyo .

Ukifanya hivi utamfanya akuamini na awe comfortable na atakupa heshima ya hali ya juu.

Ila ukileta hayo niliyo kukataza penzi lenu halita fichika .
Aujafikiria kbc mzee
 
Tatzo ananipa na vipesa sasa nikimpotezea nisipewe hela mkuu
Dooh!! Ndo vijana wa sasa mlipofikia huku. Lol

Tafuta pesa zako walau utembee kifua mbele wacha kutegemea pesa za shemeji wewe mana mwisho wa siku ni lazima utakuwa mtumwa.
 
.....naomba niwape mrejesho kidogo wakuu baada ya kusoma ushaur wenu wana jf jana shemeji yangu kanichukua hadi city center

Akanambia"S"nakupenda sana ila mbona unaonekana unamawazo sana au umepata mwingine?"

Nikamwambia shem mim naogopa Kaka akijua. akawa kama amepanik hivi "Kwahio utamwambia au achautoto S"

akasema kama nitaondoa hofu ataninunulia pikipik iwe kama kitega uchumi nimuajiri mtu kisiri Siri

Nikasema poa Tukaelekea Hotel moja inaitwa MIPA HOTEL Nasubiria niwe baba mwenye boda boja mjini hapa mniombee wadau......

"Kipunga". mwanza. Mwanza
 
Mringilili umenikbusha mbali sana Uyo jamaa kiloleni Tabora mjini alishakua diwani ka sikosei uyu bwana
 
.....naomba niwape mrejesho kidogo wakuu baada ya kusoma ushaur wenu wana jf jana shemeji yangu kanichukua hadi city center

Akanambia"S"nakupenda sana ila mbona unaonekana unamawazo sana au umepata mwingine?"

Nikamwambia shem mim naogopa Kaka akijua. akawa kama amepanik hivi "Kwahio utamwambia au achautoto S"

akasema kama nitaondoa hofu ataninunulia pikipik iwe kama kitega uchumi nimuajiri mtu kisiri Siri

Nikasema poa Tukaelekea Hotel moja inaitwa MIPA HOTEL Nasubiria niwe baba mwenye boda boja mjini hapa mniombee wadau......

"Kipunga". mwanza. Mwanza
Aujafikiria kbc mzee
Ukisoma hapa ukaekewa utajua nimecoment Nini ..... Mwanamke kapenda na dogo akizingua tu atakosa vyote hadi undugu
 
Habari wana jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada

Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini

Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa

Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.

Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.

Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni

Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.

sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
Kama shemeji yako mgonjwa kakuua wewe na nduguyo, nyie wote wagonjwa na kama yupo mdogo wako wa kiume nae yupo kwa list ya kuonjeshwa.
 
Yajayo yanafurahisha, Millard Ayo atatuletea exclusive🤣
SmartSelect_20210322-084033_YouTube.jpg
 
Habari wana jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada

Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini

Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa

Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.

Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.

Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni

Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.

sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
Nashauri muendelee tu...
 
Ukisoma hapa ukaekewa utajua nimecoment Nini ..... Mwanamke kapenda na dogo akizingua tu atakosa vyote hadi undugu
Hata hivyo ujue undugu ni wamilele na akiendelea kummla tunda shemeji yake ajue one day kitasanua mzee bora aachetuuu maan hicho walichoshtua kinawatosha
 
.....naomba niwape mrejesho kidogo wakuu baada ya kusoma ushaur wenu wana jf jana shemeji yangu kanichukua hadi city center

Akanambia"S"nakupenda sana ila mbona unaonekana unamawazo sana au umepata mwingine?"

Nikamwambia shem mim naogopa Kaka akijua. akawa kama amepanik hivi "Kwahio utamwambia au achautoto S"

akasema kama nitaondoa hofu ataninunulia pikipik iwe kama kitega uchumi nimuajiri mtu kisiri Siri

Nikasema poa Tukaelekea Hotel moja inaitwa MIPA HOTEL Nasubiria niwe baba mwenye boda boja mjini hapa mniombee wadau......

"Kipunga". mwanza. Mwanza
Ngese kweli wewe na chai zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom