Mke wa kaka anataka tuendelee

Mke wa kaka anataka tuendelee

Hadi kuja hapa ujue maji yapo shingoni mtot anataka shoo dah! Nipo ushaur mkuu
Ushauri wangu ewe kijana. Unatakiwa ufahamu kua mke wa mtu ni sumu na siku za mwizi ni arubaini.... Kama sio leo ni kesho kaka ako atagundua mchezo wako. Cha kufanya. Hama hapo nyumbani kwa haraka. Kabla ujaharibiwa
 
Habari wana jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada

Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini

Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa

Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.

Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.

Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni

Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.

sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
Mle
 
Inamaana mzee nikaanze kulima?
Maana pesa sina namtegemea bro
 
Mzee unafungua code sanaaa kaka yako km ni msomaji wa huu uzi si keshakujua?
 
Mkuu yani mtoto kadata balaa nilikuwa hajawai kunibeba kweny gari yake ila leo morning tumenda wote town yaani kakolea kinona

Huu upuuzi ndio utawafanya mkamatwe kama kuku! Hata kama mnakulana, hamtakiwi mfike mahali mjisahau kiasi cha kuanza kuonyesha mahaba yenu hadharani.

Wewe unatakiwa uendelee kumega kwa siri sana na msionyeshe mabadiliko ya aina yoyote ile maana mkianza kubadilika tu, kaka nae ataanza kuhisi kitu na akianza kuwafuatilia mjue mtadakwa kama panzi asubuhi na mapema.

Na nikuambie tu, mwanamke ukishaanza kumtafuna yeye anakuaga hana akili hata hapo sebuleni anaweza kukupa tu, hata chumbani kwa mumewe anaweza kukuingiza... sasa ni wewe mwanaume kuwa na akili na kuji control kwamba lini mkulane, wapi, mda gani ni salama n.k. kinyume cha hapo mtachezea shaba siku sio nyingi nakuambia.
 
Habari wana jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada

Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini

Kaka Ameoa mwanake mzuri sana "Mmbulu" kabila. Tumeishi vizuri tuu kwa muda wa miez 6 sasa nyumbani kwetu kule kijijini ikatokea sherehe mdogo wangu anaolewa kaka akapewa taarifa na mim pia nikajulishwa

Kaka akasema hataenda yuko bize ila akasema utaenda na shemeji yako nikasema sawa kaka.

Kwel nikaenda na shemej yangu mpaka sikonge Tabora vijijini nikaelezwa kesho ndio kesha na mziki unatoka mjini mziki wa "Mringiriri" ni mziki mkubwa sana. kwa wakaz wa Tabora watanisaidia.

Sasa siku yakesha shemeji anataka tucheze ila akanambia tutoke pale home kwasabab anaona aibu ukweni

Kwel tukatoka pembeni kama nita 50 hivi mtoto kaanza kunikatia kiuno feni nikaanza kumbambia akaanza kutoa miguno nikawa nimefanya nae mapezi.

sasa kilichonifanya nije hapa anataka tuendelee mim naogopa kaka akijua naomba ushaur wadau.
Wewe ni mtoto wa miaka mingapi? maana umeisha sema shemej yako Ni kabila gani, na harusi imefanyikia wapi, kiasi kwamba kaka yako hapati kazi ya kujua kinachoendelea. Kilichobaki akuue tu ili tusiendelee kuwa na watu wajinga kama wewe hapa duniani
 
"...mtoto akaanza kunikatia kiuno feni..."
Huyo siyo mtot n shemeji yako. Amka weweeee, zinduka. Ukishatambua huyo ni shemeji yako hutasumbuka. Shetani yupo kazini, usipo kuwa makini hata huko mjin utafukuzwa kaka. Huyo n shemeji yako ila cheza vzr mana ukimkataa direct atakutengenezea visa ving kwa bro yako na utafukuzwa tena.

Ila ukirudi mwambie bro wako interest za kuwa na chumba cha kupanga ili ujifunze life linavyoenda, pia mwambie ww n mkubwa unahitaji kuwa huru na si kuwabana.
Mm nmemaliza🤐
 
H
Mpaka hapa kaka yako ameshajua umemla mke wake usifikiri yeye haingii humu. Ni swala la kuunganisha dots tu anajua hii stori inamhusu. Jiandae kwa yajayo.
Huyu dogo ana amini kaka yake ni fala hawezi kuwemo humu jf,dogo utaleta mlejesho wa kaka yako akiyafumua hayo marinda yako.
 
HHuyu dogo ana amini kaka yake ni fala hawezi kuwemo humu jf,dogo utaleta mlejesho wa kaka yako akiyafumua hayo marinda yako.
Watu wanapiga story zao za ajabu humu bila kuupa heshima mtandao. Dakika yotote unakuumbua au kutengeneza kifo chako.

Kitendo cha kuandika namna alivyotumwa na kaka yake na eneo husika basi ameharibu kila kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom