Mke wa Boss ananitega

Mke wa Boss ananitega

Kuna mzee mmoja alimsomesha kabinti fulani chuo kikuu akamwoa.
Wakati wa chuo bidada damu inachemka akawa anajiachia na chalii wa rika yake .

Mzee akaja akashtukia hiyo ishu akaandaa mtego wake akamkuta jamaa na mkewe .

Mzee kwa upole akakaa hiyo meza huku akivua saa na bastola akaweka pembeni

Kisha akamwambia jamaa nakupa nafasi moja ya mwisho tafuta siku utakayopenda mkalane huko ila iwe ni mwanzo na mwisho nikikukuta tena !

Kisha mzee wa watu akaondoka zake

Sijui kama yule jamaa aliweza kutafuta hiyo siku ya mwisho ya kulana
 
Ujiandae Kupigwa Picha Huku Wanaume Wakifanya Yaooo.... Ka Vipi Mwambie Boss Kinachojiri
 
Kuna mzee mmoja alimsomesha kabinti fulani chuo kikuu akamwoa.
Wakati wa chuo bidada damu inachemka akawa anajiachia na chalii wa rika yake .

Mzee akaja akashtukia hiyo ishu akaandaa mtego wake akamkuta jamaa na mkewe .

Mzee kwa upole akakaa hiyo meza huku akivua saa na bastola akaweka pembeni

Kisha akamwambia jamaa nakupa nafasi moja ya mwisho tafuta siku utakayopenda mkalane huko ila iwe ni mwanzo na mwisho nikikukuta tena !

Kisha mzee wa watu akaondoka zake

Sijui kama yule jamaa aliweza kutafuta hiyo siku ya mwisho ya kulana
nahofia picha kama hiyo inaweza kunitokea,OK!!kwaiyo unanishaurije?
 
Mkuu, wewe ni mfanyakazi serikalini ama private? huangalii habari kua fao la kujitoa hamna tena?haya chezea kibarua, ukifukuzwa uje ufungue uzi kuulizia namna ya kupata mafao yako.
 
Yaaani vijana wana mawazo ya eye level jamani...anaweza hata asiwaze kesho yake itakuaje baada ya kulala na mke wa boss leo.
anataka mwenyewe mtarimbo sasa mi nifanyeje?kama kazi mbona zipo nyingi tu
Mgonge wewe si anataka mwnywe ndo mana mnaitwa wanaume wa dar akikutangaza shoga
Nahofia kibarua shemeji sina uhakika wa kazi nyingine
 
anataka mwenyewe mtarimbo sasa mi nifanyeje?kama kazi mbona zipo nyingi tu

Nahofia kibarua shemeji sina uhakika wa kazi nyingine
Hahahahaaa maneno yako yanajichanganya.... Mara kazi zipo nyingi do..mara huna uhakika na kazi nyingine.
Angalia sana...utakosa mwana na maji ya moto ohoooo!
 
Mwombe ushauri bosi wako na wife wako (kama unaye). Nina uhakika 100% kuwa ushauri watakaokupa utakuwa murua kuliko ushauri wowote utakaoupata hapa. Najua utafikiri nakutania, I am serious!
 
Ni PM kama unataka 3bomba ambazo hazipasuki kamwe ili muenjoy na muke ya boss
 
Huu Mchezo Ukitaka Kuucheza, Ujue Namna Ya tKujikinga Litapokuja Balaa....Kma Auna Namna Itayokukinga Na "Tafrani" Achana Na Hayo Mawazo Kabisaa....Wee Piga Kazi, Kma Vipi Waweza Mwambia Huyo Mdada Hicho Anachotaka Kitakuletea Matatizo....Atakusaidia Vipi?? Atakukinga Vipi? Na Kwa Jinsi Ilivyo, Inaonekana Huyo Mzee Atakumind Ile Kinoma Yaan Akigundua....Shida Hiyo Si Kidogo!!!!
 
Back
Top Bottom