Mke mwema huwa anazungusha sana kabla ya kukubali. Makurumbembe yenyewe huwa fasta tu yanaingia nyavuni

Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.

Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:-

1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.

2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Kwa sasa hakuna formula mambo ni kama kubet tu
 
Ukiona unazungushwa jua hupendwi na ukizamaa in deep subili kulizwa wanawake wa kufall in deep love walizama na meli ya mv bukoba saiv tunao wapenda mkwanjaa kwa sasa we ukiona unazungushwa jua kakukadilia huna pesa
 
Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.

Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:-

1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.

2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Kama huko kwenye kuzungushana kuna kuwa hamna mizinga basi sawa.
 
Unatongoza mwanamke mwaka mzima ila unakuja kugundua kumbe kipindi chote wewe unafukuzia yeye analiwa na muhuni tuu anawekewa mpaka vidole vichafu

Nb: unatongoza siku 3, siku ya saba unafunga mahesabu haelewek acha kupoteza muda sahivi wapo wengi kichizi
 
Huyo anayekuzungusha maana yake anaenda kujitafakari kama akukubali au akatae, na anajaribu kujipima je tunaendana kweli!
Ila yule anayekukubali kwa mara ya kwanza, anakuwa amekukubali jinsi ulivyo na moyo wake unakuwa kama umepasuka ghafla alipokuona na hayuko tayari akupoteze.
 
Nishawah pendwa na mtu nilokuwa nampenda Yan hata sikuchomoa mtongozo mmoja siku ya pili nikakubali😂😂😂
Yani nilikuwa naona nikichelewa kujibu ataghairi😀😀😀
 
Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.

Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:

1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.

2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Mke wangu alinizungusha miezi nane.
Nikaja kumshinda siku mama mkwe anaumwa kwa kupeleka matunda tu.

Hapo tayari nishatumia pesa na muda lakini hashtuki hata kidogo.

Mwaka wa tano sasa nakimbilia wa sita.
 
Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.

Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:

1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.

2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Hayana kanuni!

Wa kwako no wako tu,akiwa sio wako sio tu!!

Achana na nadharia zisizo na mashiko!
 
Mambo yalivyo mengi mwanawake akiwa na nia yakunizungusha et nimwone mke wema ,huyo atanisikia kwenye bomba.
 
Back
Top Bottom