Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,188
- 124,863
Kabla?
Labda alikuwa anachelewa kupropozi
Kabla?
Unaelekea wapi?
No, Iam not doing "it"Are you doing "it" today?
Hahahah....haya matukio yapo sana hata mimi nlishawahi kushuhudia kwa mtu wangu wa karibu kabisa. Alaaniwe mtu aliyewafundisha vijana kula tunda kabla ya ndoa.....haya yote yasingekuwepo
Naomba nisicomment kuhusiana na hii mada, make ni aibu ma laana!
I"m smelling something fishy!
Naomba nisicomment kuhusiana na hii mada, make ni aibu ma laana!
Hauta "muaga" yule wa zamani?
Sasa baba paroko mbona unanitia majaribu?Unajua kabisa mimi na kizungu hatuendani halafu wewe ndo unanisemesha nacho?Kweli jamani?
Unatoka wapi?